yani ile umefulia siku huna kitu mfukoni alafu Una changanya akili una amua kwenda kwa mango akukope unga.
unafika dukani unajizungusha
Mara mangi hii shingp, Mara mbona bei juu mwisho wa...
Nimewahi kuisikia hii na pia kuishuhudia kwa kiasi fulani (Though sio kiasi cha ku conclude findings zangu) Kwa mfano;
Magreth/Mage/Meg - Hawa wengi huwa wanene na weupe kiasi ila huwa wanakuwa...
I wanna know, I wanna know your name, your name, your name
Why you gotta be anonymous?
I gotta know, I gotta know your name, your name, your name
Why you gotta be anonymous?
Baby, I want you so...
Tangu ripoti ya CAG imetoka hatuja muona mtukufu barabarani akiwa na mkasi wake wa kuzindua. Hata vile viwanda vya saloon vya Lusinde hakuna kilichomalizika tupate kuona uso wa mzee?
Tarehe kama ya Leo 1972, katika viunga vya kisiwandui mzalendo na rais Wa kwanza Wa Zanzibar karume alipokonywa uhai wake na wapinga mapinduzi
Karume alizaliwa 1905 huko mwera,wazazi wake mzee...
Jamani wana Jamvini mimi nipo mkoani hili neno usinishushe ununio silielewi Narejea wimbo wa Becka hapo ununio najua ni Dar-es-salaam kuna nini au ni msemo tu nauliza yasije nikuta siku nikija Dar.
Kufungua ID hata sijamaliza wiki tayari nimekuwa JF-Expert Member.
Ahsante JF, hahahahaha raha sana. Nadhani wiki ijayo nitakuwa Platinum member kama akina Nyani Ngabu.
salamu nyingi kwako...
Nimetuma uzi hawapa nikaeleza dukuduku langu narudi uzi ule siuoni je nn kinafichwa basi wacha tusifie tu chit chat ni jukwaa zuri sana watu wake ni wakarimu sana na wamejaaliwa vipaji vya...
habari.
Naomba mwenye namba ya simu ya Mshereheshaji Bi Chau anipatie, kuna kitchen party tunataka awe MC.
MBITIYAZA, Shunie Miss Natafuta na wengineo naomba please.
Ilikuwa tar 16-4-.... ndipo nilipo iona hii Dunia nashukuru sana MUNGU wangu kwa kuniwezesha kuiona siku kama ya leo ni natimiza miaka kadhaa na ahsante mama yangu kwa kunileta Dunia ni. Na pia...
Ujumbe huu umfikie yoyote yule aliye macho hadi hivi sasa na yuko online akitiririka na kuserereka. Na ' Uzi ' huu kamwe haumuhusu mletaji wake kwani nimeamka tu mara moja niende Msalani...
Nimezaliwa tarehe 17,4, Siku ya j4 saa mbili usiku ndo siku niliyoanza kuliona jua,
asante MUNGU
Nachukua fursa hii kumshukuru muumba wa mbingu na nchi kwa kunijalia afya njema mpaka siku ya leo...
Habari zenu jamani,
Leo ni siku yetu jamani, nilikutana na huyu kaka kama masihara vile akaniuliza kama hii tarehe ndo niliyozaliwa mm nikamwambia ndio kaka, duh kumbe naye alizaliwa siku kama...