Salaam ziwafikie wapendwa.
Kwa muda wa takribani miaka miwili sikuwa nimefika Dar kutokana na majukumu mengine niliyokua nayo Boder ya Namanga. Hivyo mambo mengi nilikua nayapata mji wa Nairobi...
Leo katika pitapia zangu mitaa ya Mugabe hapa Sinza nikiwa natoka zangu Law School ghafla nakutana na ukuta umeandikwa "Parking at Owner's Risk" ghafla nakumbuka uzi wa brother Gudume na style...
Kama wewe ni mtoto wa mke wa kwanza kwa mzee wako, njoo hapa tukumbushane shida na karaha tulizoziahudunia wakiwa mama zetu kisa mke mdogo.
Watoto wa bi mkubwa tukikosa huduma huku watoto wa bi...
Habari wana JF!
Siku yangu ya kwanza kupigwa ban ama kuwa banned ilikua ni mwaka huu tangu nijiunge toka 2013, basi mwak huu nimetumikia jela ya jamiiforums.
Siku hiyo niliona watu wanafukua...
Wadada wawili wa mjini ambapo mmoja kazalishwa na mh mbunge na mwingine ndo current girlfriend wa mheshimiwa wako kwenye vita kali ya maneno mpaka mmoja kusema ataita press kuongelea kila kitu...
Km mnavyotambua,furaha ni amani ya moyo.
Basi mwenzenu tokea juzi nilipigwa ban ya hadi tarehe ya leo bila sababu yenye mashiko ila basi tu!
Sasa leo ban ilipo expire mda wake si nikaingia fasta...
Wacha nasisi Tujuane humu
Aisee nilimaliza pale miaka hiyooo ilikua noma sana one za kumwaga ,manunda wengi msuli kwa sana, menyu mesini utata, kirodi kwa babu miwa hahahahahh mama typist na...
Ilikuwa hivi jamaa alikuwa anatembea na mke wa mtu ikawa ndio tabia yao ikifika mida ya saa mbili usiku jamaa wanapanga kukutana na mchepuko wake hoteli moja iliopo kariakoo kwa ajili ya kupata...
WACHAGAAAA MPOOOOOOO
SHIMBONI SHAFOOO WACHAGAAAAA... HAYA MMESHAHESABIWAAA MKUJEEE HUKU TUWEKANE SAWAAA.... MAISHA YAMEBADILIKAAAA SASAAAA MFANYE KAZIIII KWERI KWERIII
KIRU
Haya sasa wale...
Wale waliokuwa wanaponda Bongo Movie
Nimekeshea wiki 2 naangalia nilinunuaga kariakoo kule opposite na kanisa la lutheran
Mbona Movie Nzuri sana.. sijui watu wanalalamikia wapi?
Alafu yule jini...
Tanesco mtatuua nyie watu huyu kaka analalamika umeme ,kwamba demu wake akija na joto la Dar na mbu watapakana jasho haswaa kwa hiyo anawaomba wawashe[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kwetu li...
HUU SIO MTONGOZO, ni neno la kuhusudu(word of admiration) kwa mwanamke ambaye nimekua nikifatilia michango yake humu JF MMU kwa takriban miaka mitatu kabda na baada ya mimi kua member wa blog hii...
Habari za mchana wazee,
Hii kitu inani confuse sana hivi nini maana halisi ya wanaume wa Dar kama inavyotumika na watu wengi?.Je ni wanaume wazaramo (maana hawa ndio wenye asili ya Dar) au kuna...
Dah..!! Nakumbuka demu Pendo Alinimamata makofi mpaka nkaangukia kwenye beseni la mavyombo machafu
Afu leo amekuja eti "baby nimekumiss"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwaka nilitaka kua full time boxer nikaenda kwenye klabu moja ya ngumi Mabibo, huku nikiwa na sare za shule, nikakutana na kocha wa pale baada ya kumueleza shida yangu akaniambia.
"Ingia...