Wimbo:LIKO LANGO MOJA WAZI.
Verse 1:
Liko lango moja wazi,
Ni lango la Mbinguni;
Na wote waingiao
Watapata nafasi.
CHORUS:
Lango ndiye yesu Bwana,
Wote waingie kwake...
Happy night friday everyone .
hivi weekend wapendwa mnafanyaga nini?
Napenda kujua marafiki huwa wanafanyaga nini weekend .
Kuna mtu kaniambia anaendaga ufukweni mf.zanzibar,bagamoyo,pangani na...
Leo ni Friday kesho ni Saturday, eti mtu anasema nikalale why? Napata bia zangu kumaliza wiki salama eti kalale.
This is too much man, tuacheni tupumzike hatuwezi kuishi kaa tupo lupango...
Dooh nimekaa miez sasa lkn hizo harusi nilizohesabu ambazo naziona na nilizoalikwa hatar
Mmhh hapana aiseee hiv watu wanaosema hakuna wanawake wa kuwaoa au hakuna wanaume wa kuoa mbona huku ndoa...
Nimebaini watu hufurahia sana na kupongezana sana iwapo itafika hiyo tarehe yake ya kuzaliwa. Shida yangu inakuja pale linapokuja swala la kumposti huyo muhusika kwenye hii mitandao yetu pendwa...
Salaaaaaaam.
Well, tumekuwa tukiwasiliana na wadau wenzetu mbalimbali humu jamvini na pia hata kutaniana kwa hapa na pale ili mradi masaa yapite tu.
Kuna muda utani unazidi hasira zinapanda na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza:
Si mara ya kwanza ngozi nyeupe kuniomba urafiki baada ya kuwakulibalia wananitumia picha za ngono.
Jamani dunia imekwisha mtu haujazungumza nae kitu chochote...
Kama unamfaham kijana anajua kuingiza data kwenye computer mwambie atume maombi mwisho juma pili kazi ni ya siku tatu na mshara ni 450,000 kwa siku tatu yaan tarehe 29,30,31 mwezi huu
Kwa...
Habari yenu wanajf nikiwa Morogoro chuo nikapata dharura ya kuja hapa Dar es salaam mara mojaa.
Mengi nimeyaona ikiwa pamoja na kushangaa jiji pamoja na mwendokasi, pia jengo la tanesco pale...
Majuma machache yaliyopita kuliibuka mijadala mikali sana ya kumdhalilisha mwanaume mwenzetu maarufu sana kwenye tasnia ya burudani hapa nchini kwetu Tanzania jina lake nalihifadhi kwa picha...
Nawapenda watu wairinga, ilamnanikela,hakuna mlefu wote wafupi wake kwa waume .wanawake oleweni namakabila mengine mchanganye mbegu
Wanaume hamjuikutongoza makabila mengine? changanyeni...
Huyu licha ya kuchimbwa kamkwara kadogo na yule jamaa wa DSM pale bado anaendelea kuonyesha ukomandoo wake.
kama vipi hebu afungue account hapa Jf halafu yale mambo yake ayalete huku ili tumpime...