Kwa watumiaji wa mtandao wa Jf ama "GT" kwa jina lingine watakiri kwamba moja kati ya sifa kubwa za mtandao huu ni watu kuwa na sifa ya GT.
Sifa hii ya pekee hufanya jamiiforums kuwa na sifa ya...
Dar mapenzi haya huyu dada tuna mwezi .leo sasa tulipanga vizuri akitoka kwenye majivu kanisani tuonane tutoke. Ila mpaka sasa nikimpigia Simu hapokei. Hapa nilipo natamani ardhi ifunguke inizamishe
Wana jf
Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila...
Huu uzi ni kwa ajili ya wanajamiiforum kutakiana usiku mwema huku ukitaja na ukishukuru jamiiforum kwa habari uliyoipata humu na mijadala iliyokukosha
Mjadala wa leo ambao nimefurahia ni ule wa...
Haya maisha ya kulipa kodi haya, kodi yenyewe laki tano kwa mwezi.
Ulitakuwa uilipe 01/01, ndiyo kwanza umefanikuwa kuikamata yote leo. Inamaana una wiki moja tu ya kulala kwa amani kablavya...
wakuu kuna bint wala sio dem wangu ila ni rafiki wa haja,yan friend wit benefits,.ndo nipo njian narud zangu nikutane nae bamaga hapo sasa nmemdanganya nishafika tayar kwenye eneo la tukio,(baa)...
Kijana kutoka Malawi, mama yay je alipata shida sana kupata mtoto mpaka herbalist alipompa kamuzu yaani kamzizi alikachemsha na kunywa maji matokeo yake alishika ujauzito na kumpa mtoto jina...
Ivi nikwanini nikiwa natongoza mwanamke huwa najihakikishia nitampata na ikitokea kanipiga chini nanuna? Sasa hicho kinacho nifanya kununa ndio huwa sielewi kwanini iwe hivyo na huku ni kawaida tu...
Amani iwe kwenu wana JF,
Leo nimeona nizungumzie katafiti uchwara kadogo nilikokafanya juu ya usafi binafsi hasa wa wanaume. Wanaume wengi wakitoka kujisadia haja ndogo huwa hawanawi mikono. Kwa...
Miguu michafu ya kina lukaku na sanchez, Miguu Iliyobeba nyayo zenye vumbi la dhambi. Ilipothubutu tu kuikanyaga ardhi takatifu ya Mtakatifu James. Ardhi ikapiga kelele ishara ya kwamba kuna watu...
Kwa muda sasa nimegundua watu kwa asilimia kubwa tunaangalia (notice) vile vitu ambavyo tunataka kuangalia na vinatuvutia (vice-versa is true). Yaani kama ukiamua kutafuta uzuri wa mtu au kitu...
Kutokana na kuwa na wafuasi wengi sana duniani na kwa uelewa tu mdogo yakwamba ufanisi unaanzia kwenye upendo sasa mnaonaje kama serikali zetu zitairasimisha siku ya wapendanao kuwa siku ya...
Kuna yale matani ya kuzihusu timu mbalimbali,hasa timu ya dunia ambae ni mume wa timu zote ndogondogo duniani,nadhani inajulikana.....
Zlatan on Alexis: ''He's smaller than I thought! He was...
Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu
Aman iwe nanyi wapendwa
Mimi BOY FROM LONDON nawatakia siku kuu njema ya wapendanao
Nawatakia kupendana kwema, mpendane had siku ya kiama na...
Salute,
Naomba kufahamishwa gharama za kukata bima ya pikipiki (insurance). Na ni hatua gani unapita hadi kuipata hiyo bima.
Nawasilisha.
By
Young
Dimaa.
Ikiwa kama njia ya kupunguza stress za maisha au kwa mfano ningekua na takwimu ningesema kujisahaulisha ukazaji wa vyuma[emoji23] [emoji23] .Hebu tujikumbushe story za watumiaji wa huu mmea wa...
wanaume wadar wengi maisha yao mbaya harafu wanatuponda wamikoani
wengi wanakula mlo wajioni mchana unapita. wanaishi kwenye nyumba mbovu kuliko hata sisi wamikoani.
Wale waonaoishi mbali kwenda...