JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Bila ya kupoteza muda, wakati tunakaribia kuazimisha ile sikuku yetu pendwa ya Valentine ni kitu gani haswa mngependa kukipata siku ya kesho kati ya hivyo tajwa hapo juu?
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wakuu, Mimi binafsi starehe yangu kubwa napenda sana mademu, yaani nikiwa na mtoto mkali nasikia sana raha. Je wewe mwenzangu starehe yako ni nini?
1 Reactions
76 Replies
7K Views
Usiku wa leo Nimeota(sijui kama ni ndoto au ilikua kweli) kwamba nimeamka kitandani lakini ile natoka kitandani kiwiwili changu kilibaki pale kitandani nikajaribu kuwasha taa ikagoma kuwaka. ule...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
1 Reactions
4 Replies
1K Views
watu wambeya mpooooo njooni huku tuwasute. (1) Wakija dar hupenda kwenda hotel in nakugiza wali nyama au ugali nyama choma. wakisha ulizabei,utamuona anakohoa nakumwambia mhudumu punguza kidogo...
0 Reactions
56 Replies
12K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau mbinu bora ya kuwakimbiza vibaka mtaani kwako tanguliza panga refu nje wakiliona tu nduki unatoka kifua mbele
1 Reactions
7 Replies
1K Views
kuna kinadada wengine wanakela kwel kweli mimi nakubembeleza unikubalie ombi langu alafu we unaniuliza elimu yangu inamaa mi nimekuja kukuomba kazi au? Hii ilinitokea juzi
0 Reactions
69 Replies
4K Views
Mjukuu Wangu chaula hujajambo ni mimi babu yako nimeludi kutoka kongo sasa yale mambo yetu yatakwenda vizuli naile ndagu niliyokupa inaonekana imekufa vizuli maana kilakunapokucha unaongeza magali...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
"Chondechonde usinifungulie uzi" Aliirudia kama mara mia. Ukiiona hii post najua utacheka sana lkn ndo hvyo. Kanali nimefuzu kuficha nyeti zangu kuliko siri za moyoni. Nimeshindwa mpka nmeona...
19 Reactions
324 Replies
15K Views
  • Poll Poll
NAONGEA NA WEWE!!!! Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba, ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani, Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa, mtoto wa watu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kila siku umeme kukatika imekuwa kawaida ktk maeneo tofauti tofauti ya Jiji la Dar sijui mna tatizo gani Tanesco kila siku badala ya kuboresha ndio mnaua kabisa shirika.
0 Reactions
1 Replies
576 Views
nataka kuanza mazoezi ,nikipata mwalimu kama huyu naahidi nitakuwa mwaminifu kwenye mazoezi na sitakosa hata siku moja,na nitapenda sana kufanya mazoezi aina yote,unajua kila kitu kinahitaji...
9 Reactions
152 Replies
11K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Naandika hapa nikiwa na maumivu makubwa sana na sijui hata hatima ya maisha yangu, ndugu zangu sasa wamekataa...
6 Reactions
121 Replies
10K Views
Hivi kweli kuna binadamu anaweza ishi bila hili tendo! Maana kama haina madhara heri ili kuepuka mizinga na wanawake kujitunza zaidi
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Kwa kipindi ambacho nimekuwa mtiifu mzuri na mfuatiliaji wa michango mbalimbali ianzishwayo na baadhi wa member wa kike humu kwenye jamvi la mahusiano na hasa wale wanaojiita majina ya kuvutia na...
28 Reactions
622 Replies
55K Views
Wakuu poleni na majukuu leo mwenzenu nimeota nakabwa shingo mpaka kupoteza na pumzi usiku wa manane lakini wakati nakabwa niliona ndotoni sura kama Mshana jr akiwa na miwani yake ile ya tinted...
2 Reactions
65 Replies
5K Views
Habari yako mshana Jr Awali ya yote napenda niseme wazi kuwa JamiiForums imekuwa ni sehemu pekee ambayo nimekuwa nikifarijika sana hasa ninapokutana na ma-star kama akina mshana jr , GuDume ...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Vibinti vya bongo sio Kbs ndo maana vinajisell Maisha magumu machine km kawa [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
0 Reactions
4 Replies
741 Views
Kila mwana JF ana avatar yake lakini kiukweli kuna zingine ukiziangalia mpaka unakosa majibu. Hivi unaweza kueleza maana ya avatar yako na kwanini uliamua kuiweka hiyo? Mimi yangu ni kwasababu...
14 Reactions
343 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…