JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya...
44 Reactions
143 Replies
14K Views
Hi jf, weekend yangu nipo hapa pub na mafrends zangu,nimekuta kuna kuku wa ukweli,je hapa arusha kuna sehem gani nyingine panakuku wa kienyeji wa kuchoma kama hapa big l?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu, Kama ambavyo kichwa chajieleza,tupieni hapa maneno ya kinyume nyume tupate kufurahi. Mfano, ......mbona unaumwa unakonda nini? ......mapigo ya mbio yanaenda moyo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Laiti ningepewa walau sekunde moja ningekuambia vile nakuhusudu toka nikujue hapa jf!!! Nitahitaji wino wa wingi wa bahari kukueleza mahaba yangu kwako! Unanijia ndotoni nilalapo niamkapo...
7 Reactions
247 Replies
10K Views
Licha ya hii kazi kua na ujira mdogo, Pia ina changamoto kubwa sana... Mimi pamoja na Elimu yangu ya chuo kikuu(science) nafanya kazi hii..
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni nini unafikiria, unapanga kufanya au kumiliki kwa wakati was baadae? Kwa kuanza, mm nafikiria/ Nina ndoto zifuatazo. @ before age of 26 yrs old -shamba/ mashamba jumla ya ekari zisizopungua...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mpendwa ******* MUSHI, HERI YA SIKU YA KUZALIWA. Vodacom imekupatia DK 2 voda-voda na 20MB za bure ufurahie SIKU YAKO YA KUZALIWA. Sipo katk promo....ila niwape heko vodacom kwa kujaribu kuwa...
0 Reactions
5 Replies
895 Views
1 Reactions
3 Replies
3K Views
*At least she's honest* [emoji485] *Man* offers a drink to a woman. *Woman*: No thanks, I don't take whisky. It's bad for my legs! *Man*: Legs? Thats strange!! Do they swell or hurt? *Woman*...
5 Reactions
6 Replies
948 Views
Mpendwa ******* MUSHI, HERI YA SIKU YA KUZALIWA. Vodacom imekupatia DK 2 voda-voda na 20MB za bure ufurahie SIKU YAKO YA KUZALIWA. Sipo katk promo....ila niwape heko vodacom kwa kujaribu kuwa...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Katika maisha watu huwa na wakati wana hamu ya kufuatilia habari fulani fulani za mtu ambazo ni za "gossip" Na gossip huwa inavuta watu hasa kuifuatilia. Ila kwa tathmini yangu nimebaini kuwa watu...
0 Reactions
5 Replies
915 Views
Nina ofa kwa wadada wenzangu wa JF, nina mzigo wa nywele originally nywele za peruvian hair na brazilian hairs. Mzigo uliobakia mpaka sasa grade 8a na 9a peruvian na brazilian. bei ni chee...
3 Reactions
66 Replies
5K Views
Okwi anakua kama mzee mwenye hadithi nzuri za kusisimua huchoki kukaa nae.
1 Reactions
4 Replies
594 Views
Jamani, naombeni orodha ya wana JF ambao wanadeka kupita kiasi. Yani wao ishu ndogo tu ya kuweza kuisolve offline lazima wailete huku kuomba msaada... Weka hapa majina yao tuwajue ili tuwadekeze...
2 Reactions
114 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Humu Jf kuna threads za kila aina kutoka majukwaa tofauti tofauti. Sio mbaya tukihabarishana kwa kutaja jina au link ya thread yako au thread ya member mwingine iliyokuvutia ili...
0 Reactions
54 Replies
3K Views
Kama wewe ni chekechea feria uliza swali lolote la mathematics na felia mwenzio atakujibu mimi nauliza hili 5-2=______ jibu ni ??
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunafahamiana , tumezoeana na ikitokea akakosekana mtu humu kwa muda mrefu tunaulizana huyu miss chagga mbona hapatikani JF? au waungwana Miss Bantu au MziziMkavu siku hizi hatumuoni humu...
12 Reactions
182 Replies
7K Views
Nilisoma Shule (Ya Msingi) ambayo Mama alisoma na waalimu wa Pale waliokuwa wanamjua mama wakadai Umerithi Akili za Mama yako, wakaenda mbali kwamba Mom was a Genius hakuwahi shika Namba tatu...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
jf inamambo yake, kuna hawa jamaa waliokuwa wanafanya interview humu sijui siku iz wameishia mitaa ya wp. mimi ni mdau wa hayo mahojiano, hebu tucheki ni nani alikuwa vizuri kwenye kuhost show...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…