JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukitafuta Bar UK kwenye ramani utapata za kutosha.
5 Reactions
4 Replies
195 Views
Kama akili yako iko sawasawa usijibu wala kuweka reaction yoyote kwenye uzi huu. Ukijibu tu ujue una changamoto ya afya ya akili.
2 Reactions
5 Replies
188 Views
Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama...
8 Reactions
24 Replies
632 Views
Unaona wanyama wangapi hapa? Wataje
5 Reactions
17 Replies
213 Views
Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz...
9 Reactions
48 Replies
932 Views
Kama picha inavyoonekana hapa ni eneo gani exactly
5 Reactions
31 Replies
625 Views
Nakushauri we ulie na smart PEKEE mda muafaka kanunue na katochi Kana saidia sana sanaaa Hasa kwenye shida ya chaji kwa kweli hakatanii Pia kama UNATAKA namba zako za Siri unaziweka kule so HATA...
3 Reactions
2 Replies
109 Views
Hapa ndipo tulipopata misemo mingi sana kama ule wa kudadadeki (Nafikiri joti aliutoa katika msemo wa "kulaleki" ukikuwepo tangu 90s), umefulia, etc miondoko ya aina yake, hapa ndipo...
21 Reactions
71 Replies
2K Views
Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya. Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie...
7 Reactions
47 Replies
777 Views
Hakuna haja ya salamu. Jana nlienda beach flani ya kishua huko pembezoni ya beach. Nikawa nime cool tu napata moja baridi,moja baridi. Sikujua kama Tanzania kuna joto hivi. Nimeingia Ijumaa...
9 Reactions
50 Replies
1K Views
  • Redirect
Nina 30yrs, naishi kwetu still nina kabiashara kadogo ila hakaendi siku nyingine nakuta kinyesi nje ya biashara, sina mahusiano yanayoeleweka naweza kuwa kwenye mahusiano mtu akaniacha bila...
0 Reactions
Replies
Views
YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA...
0 Reactions
3 Replies
132 Views
Wakuu, Najua kila mtu ana stori au jambo lake ambalo akilisimulia hapa watu tutafurahi, Katika jukwaa hili la jf, unaweza ukaanza kusoma replys za wadau hata kama ulikuwa peke yako unaweza...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
nahitaji kujua tabia za kabila la wamwela, wangoni, wapare:help::help::help:
0 Reactions
23 Replies
18K Views
Mi nakapenda sana haka katoto atoto wewe je?
9 Reactions
1K Replies
59K Views
Ova Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi Wanamaanisha ukioa usafi wa nguo zako hata boksa...
2 Reactions
30 Replies
433 Views
Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi. Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10. Iwe mbeya mjini maeneo ya...
2 Reactions
1 Replies
88 Views
Sio kuyafanya makazi ila kwenye matamshi yake tu yanakunogea na unatamani angalau ufike. Mimi Nyamagana na Kurasini
8 Reactions
193 Replies
3K Views
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba Ukikubali, na kusema nambie swali...
12 Reactions
108 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…