Huu ni Uzi maalum kwa wana jf ambao watakuwa jirani jirani katika maeneo mbalimbali hapa tz na nje ya nchi.
Iko hivi unasema ulipo then unasema kama kuna mwana jf yeyote apunge mkono na wewe...
Naombeni msaada wenu wadau, wa kufahamishwa ni Red Wine gani ambayo ni Tamu by Taste....ni muda mrefu nimekuwa nikitafuta "Red Wine ambayo ni Sweet" ili iwe kinywaji changu coz Sipendi vinywaji(...
Miaka kadhaa iliyopita mkoani singida nilizaliwa king of sukuma land.
Pongezi nyingi kwa alienileta mdunia ya Viwonder+Vihoja
Nahene lulu.[emoji122] [emoji122]
Skuzaliwa mwanza au shinyanga kwa...
Kweli screenshot hazijawahi kumwacha mtu salama, njia pekee ya kuepuka sasa hivi ni kutongoza live maana hata ukipiga simu wanarekodi, yameshanikuta wakuu.
Kuna wakati nilitaka nibadilishe Id baada Ya baadhi ya wana JF kudai id yangu ni ya kike!
Ila kabla sijachukua uamuzi huo nikajiuliza... Kama ni kweli, mbona basi sijawahi kufatwa PM na kidume...
Boss asks Mutuku, Mutuku how do you get it right for 30 years of bringing me coffee every morning without spilling it?
Mutuku's answer, before I climb up the stairs I take a big sip. As I get...
Aloo hakuna wakati mgumu kama kupita kwenye barrier ya polisi wakati umebeba illegal materials like some kgs za mmea,sembe,banned drinks, pembe na ngozi za wanyama ambao ni nyara nk.
Aloo hapo...
I came home from work.
Was tired. Sat down on the sofa. Put my feet up.
Wife brought me a glass of water. Son gave me a sheet of paper [emoji405]
English Lang. 17%
Biology 35%...
Hivi unadhani upi ni mtandao bora kwa matumizi Na ambao hukupa raha ya kuenjoy maisha!
Kwa Mimi huwanikiwa natumia voda napata raha mustarehe kabisa!
Tuambie chaguo lako!
Wanawake <mademu> wa jf bana [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji28] ("mangi embu nipe bapa nishushie kwanza")
hizi ni badhi ya threads zilizoniacha na kicheko cha...
Wakuu habari zenu wote kiumjula, bila ya kupoteza muda. Rejea kichwa cha habari hapo juu kinavyosema, nakumbuka mwaka huu mwezi wa 7, nilienda wilayani liwale mkoa wa lindi. Sasa wakati huo nina...
Kuna mambo ambayo kwa harakaharaka kwa akili ya kibinadamu ukijiuliza unakosa majibu!.
Ukijaribu kuzunguka almost dunia nzima utagundua kuwa hii falsafa ni pana na bila shaka ina maana pana zaidi...