Haiwezekani kabisa nyie ITV Daima mkatutesa sisi Watazamaji wenu kila uchao hasa kila muda wa Taarifa ya Habari yenu ya Saa mbili ( 2 ) usiku inapofika tu wakisoma hawa Watangazaji wawili Jackline...
Habarini wadau
Kama kichwa cha habari kinavyosema, naombeni wale wajuzi katika lugha za kitaa wanisaidie kujua baadhi ya maana za maneno haya
1. Eneka
2. Kiki
3. Vizinga
4. Odah!
5. Kinyama, nk...
BREAKING NEWS
Watanzania mnaombwa kuvaa helmet
ili kujikinga na mpira wa penati uliopigwa
na mchezaji wa Yanga Juma Mahadhi, inasemekana utashuka muda wowote
kutoka ANGANI...
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameandika bango Na kukatiza nalo mitaa ya jijini Nairobi akitafuta mume Wa kumuoa!
Mwanamke huyo bi Pris nyambura amesema amechoka kusubiri miaka nenda rudi hivyo...
Habarini wapenzi wanajamvi
Napenda niulize maswali hata machache tusaidiane mpaka tupate jibu
1. Aliyechora ramani ya dunia yeye alipokuwa akichora alikuwa amesimama wapi
2. Aliyekuwa anatengeneza...
Natumaini mko fiti..
Basi bana juzi kati nikatia maguu kwenye basi,natoka koromije mie eti naenda kuosha macho jijini kwa blaza Paulo baada ya kuuza pamba yangu kijijini. Sinikafikia mtaa ule...
*Ekene is a house boy who drinks the wine of his boss and adds water 2 cover up.*
*His boss was suspicious and decided to buy pastis ( A french wine that changes colour if u add water, just like...
Nimefanya utafiti wa muda mrefu kupitia mahotel makubwa,migahawa ,pia hata majumbani ,,hatimaye nimegundua kwamba wanaume wanajua sana kupika kuliko wanawake.
Wanawake wengi wana lipua tu...
Ndugu zangu kilichonikuta Leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!!!
Nilikuja Dar ijumaa.(siishi dar huwa nakuja matembezi)
Kumbe mji una wenyewe!!!
Leo si nikatoka nataka kwenda...
[emoji121]
WAKUU,
HUKU KITAA NILIKOHAMIA HIVI KARIBUNI PANDE ZA #MBAGALA_MAJI_MATITU
TUPO WAPANGAJI WANNE-
MIMI NA AKINA DADA WATATU!!!
INGAWA MIMI SIO WA KISHUA,
HAWA AKINA DADA USWAHILI WAO...
Sema uzuri Wa hizi namba tunasoma wote hata wale waliokuwa wanawaimbia wenzao kwa kejeli 2015. Ahsante mh Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
1.SIMBA vs YANGA
2.MONDI vs KIBA
Utaenda wapi ili uridhike kunako kwa moyo,kana kwamba hata baby ako akikutext nitumie laki 2 unatuma bila kuuliza matumizi.
Fungukeni.
karanga za diamond zimesababisha karanga nyingine huku mtaani zisinunuliwe kabisa
tena mbaya zaidi kuna wengine walikuwa wanategemea kupika karanga ili waendeshe maisha yao,,ujio wa diamond...
Daah aisee miaka ya nyuma kuanzia 2015 kurudi nyuma kabla mzee yusuph hajaacha kuimba ilikuwa raha sana.
Nilikuwa sikosi show za jahazi .Na kilichokuwa kinanivutia ni wale mashangingi aisee...
Habari mabibi na mabwana !!
Nimekuwa single kwa muda mrefu kwa sasa nimeona ni vyema kama nikapata mtu wa karibu wa kuweza kushare mambo mbalimbali. Hivyo naomba kama kuna mwanamke aliye single...
@masoudkipanya: Ng'ombe wa nyuma huchapwa Kwa sababu tu yuko karibu na mchungaji lakini anayechelewesha msafara ni Ng'ombe wa mbele.
m.twitter.com/masoudki...
Sent using Jamii Forums mobile app