Wakuu,kwanza nikiri wazi kwamba JF siyo tu mtandao wa kupashana habari na kuongeza uwezo wa kujenga hoja kinzani lakini pia,ni moja kati ya sehemu inayonipa raha hata ninapokuwa na stress kutokana...
Baada ya singida united kuifunga gori la pili young walicho kifanya ni kuziba camer kwa jezi zao lakin walinz kam amelingamua ili mapema wakawasha camera nyingine
Leo watu tunatest mitambo bhana...
waheshimiwa mabibi na mabwana
sasa imefikia wakati wetu!
wa kuisifia nchi yetu najua wengi kwa namna moja au nyingine wamekuwa sio wazalendo wa nchi yao kwa mambo yanayoendelea!
mbali na hapo...
its gonna be L.I.T babes,nipo najiandaa,am such an introvert...antisocial...kinda lazy but today is nat the day to be any of those. Endiwooo tukale nyama sasa
meatarians where u at??
*Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuzia ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
kwa wale wote waliosumbuka sana kutafuta mali, wengine ikiwa ndio mwaka wao wa pili sasa..
Nataka nikufahamishe kuwa ili utajirike kuna mambo makuu matatu ya kuzingatia.
Mambo yenyewe hata mimi...
*22% ya ajali za barabarani zinatokana na ulevi wa pombe!. Hii inamaanisha kuwa 78% ya ajali inasababishwa na wapuuzi flani ambao wanakunywa maji, chai, juice, kahawa na maujinga mengine! ☹*
Kila baada ya nyumba mbili kuna kanisa,lakini kila siku ukisoma Mbeya blog mara mtoto kauwawa kikatili katolewa viungo ,hebu watueleze faida ya haya makanisa kila kona.
tupo kanisani mchungaji akasema anaetaka kuombewa biashara yake apate wateja asimame
si Muuza majeneza akasimama wa kwanza
sasa naona ibaada imeahirishwa naisi kanisa zima wataua wameenda kufanya...
Usimuulize msichana kama yupo single au hapana. we mchukue, mpeleke lunch, mfanye acheke, mpe hela!
Halafu yeye ndio ataamua kama yuko Single au[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]...
Baada ya Daktari bingwa kutoka Tanzania,Dr Kigangwala kugundua sayansi ya kubaini uchochezi kupitia mkojo wa mtuhumiwa,napendekeza Mkapa kuchukuliwa vipimo hivyo mara moja kubaini kilichisababisha...
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.
Wale waliosoma nje ya Tanzania...
Kipindi flan Nilikua kipanga sana darasani hadi nikawanaipenda shule,shule ikaendelea ikaanza kua ngumu nikapambana nkashindwa, nikainuka nikaendelea...
Sasa hivi nipo mahali flani japo...
Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani.
"Toka hapa nani wewe unakuja kitandani kwangu?"...
*Kuna mwizi mmoja kidogo aniue na cheko*
Mwizi mmoja alikwenda kuiba mbuzi usiku wa manane. Aliporudi akaacha amefunga yule mbuzi mlangoni kwake akaelekea kulala. Asubuhi wale wenye mbuzi...