Nimekaa nikawaza (nadhani unaniona kwenye avatar) kuwa kuna mambo kama matatu hivi ambayo Waafrika hatuyajui, kama tungekuwa tunayajua hata hawa Wamarekani, Wachina na hata watu wa Ulaya...
Kutokana na uhaba wa notifications tunaoupata baadhi ya member ambao sio maarufu kama kinaThe bold,mshana and the alike huu uzi ni kwaajili ya kuungishana mkono comment chochote utakotiwa tu hata...
Hello! Is this Gordon's Pizza?
No sir, it's Google's Pizza.
Did I dial the wrong number?
No sir, Google bought the pizza store.
Oh, alright - then I’d like to place an order please.
Okay...
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Jaman. Hakuna Kinywaji Kitam Kama Konyagi
Ukiimix Na
Konyagi Na Bitter leomon
Konyagi Na 7 Up
Konyagi Na Dompo
Konyagi Na Tonic
Raha Sana
Waiter Zungusha Tena [emoji482] [emoji482]...
Wana Jukwaa, sasa tuanzishe kampeni ya kuhakikisha Rais wetu JPM anakuwa verified member humu Jamii forum
Haiwezekani Rais atumie mtandao wa Twitter pekee wakati kuna mtandao wa kizalendo ambao...
Mke wa jirani yangu alikuwa akikuta PESA wakati anafua nguo za mume wake alipiga kimya kimya, sasa ngoja akute kaacha CONDOM, mtaa mzima tulijua kama ameoa KIPAZA SAUTI.
Siku hizi jamaa anafunga...
*_My primary teacher Alizoea kunambia_*
*_"...Lalisha matako apa, kumbuka si wewe nachapa, Bali ni ujinga natoa."_*
*_Mpaka Leo mi huamini kuwa ujinga hukaa matakoni._* *_Sasa nkiona dem Ana...
Kusaidia Mtoto wa Nursery home work ni ngumu sana. Jana nimemuuliza swali la hesabu: "Nina pipi tano, nikiwagawia watoto watatu, kila mmoja pipi mojamoja nabakiwa na pipi ngapi?
Akaniambia, “Toa...
Darasa lolote (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao:
1. Mrembo wa darasa.
2. Playboy/playgirl - Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.
3. Group ya marafiki watatu...
Unamtumia baba yako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" Anakuuliza "pckt mny ndio nini?” Unamjibu ni kifupi cha "pocket money"
Baadaye anakutumia 10,000, unamuuliza hiyo...
Baba na mama baada ya kurudi safari pamoja wakakuta BARUA iko mezani SEBULENI ikisema:
"Baba na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka juu ya meza...
*Dogo kanitumia meseji akiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" nikamuuliza "pckt mny ndio nini?” Anajibu ni kifupi cha "pocket money" Baadaye nikamtumia 10,000, akaniuliza hiyo hela...
*URAFIKI ni kiwanda kidogo cha NGUO kilichopo MANZESE jijini DAR ES SALAAM*
*kama unajua TAFSIRI nyengine pambana na hali yako*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefika hapa Kituo cha Polisi na kujikuta nikifarijika sana na kushtuka baada ya kumkuta Afande Chacha hapa Kaunta akiwa anasoma Biblia, nikajisikia fahari sana kuona anasoma Neno katika kituo...