Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala
Jamaa: Hellow... hellow... ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker)
Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima...
Ilitokea pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyenifundisha MATHS enzi zileee halafu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda Makuburi.
“Nenda mbele kama 1.2 KM hivi kisha kata kushoto, ila...
Mtoto mmoja leo asubuhi kaamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele "Mamaa!" Mama yake akaamka na kumuuliza "nini mwnangu?" Mtoto akajibu "Mama nimeota ndoto mbaya...
Habarini wakuu,
Najua sisi sote tulipokuwa wadogo tulikuwa tunapenda vitendawili, nahau, mthali na mafumbo. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kukumbuka enzi zetu ttukiwa shule yacmsingi...
Every day with you is special but today is extra special, your the only man whom I have truly loved,truly admired and respect.
Sina mengi sana ya kuelezea unajua nnavyokupenda na nakutakia Heri...
Wakuu,
Nimeshindwa kupata usingizi mpaka muda huu kutokana na ndoto inayonijia kila wakati kuhusu uwepo wangu katika kina cha Mahaba na mtoto wa Kisukuma Valentine.
Kinachonishangaza ndoto hii...
Namshukuru Mungu kwa Kunifikisha Siku Ya leo. Siku ambayo ni maalum kwangu. Siku Ambayo kwa mapenzi Yake yeye Mwenyezi Mungu Ibra87 natimiza Miaka Kadhaa.
Ninayofuraha kubwa kufika Siku Ya...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume...
KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI? WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO
Kwamfano
- Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie...
STRESS NI NINI?
Stress ni pale unaposubiria ajira tangu 2014 hujapata halafu unakuja kupangiwa KIBITI hapo lazima uimbe ule wimbo wa darasa
RUDI UTOTONI USIPOTEMBEA UTABEBWA MGONGONI[emoji3]...
*bongo muvi bana,naangalia muvi ya yesu walioigiza wabongo*
Maria: Yosefu nina mimba..
Yosefu: Yesu wangu mimba ya nan[emoji23][emoji23]? imebidi nizime Main switch kabisa...
Jamaa yangu kanitumia meseji hii sasa hivi:
Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali, sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie...
Kuna haka katabia Shuleni/vyuoni ka kuhisiana maspy/wapelelezi wa walimu Sijui wanafunzi wanatumiaga vigezo gani kuita wenzao Maspy wa walimu unaweza kuchukiwa na shule nzima au hata kutengwa...
Wakuu uzi huu ni maalum kwa mabingwa wa kuchepuka ambapo kikubwa tutajadili jinsi wanavohandle michepuko,faida na hasara za michepuko lakini pia tutaangalia swala zima la njia zinazotumika...
Habari za mchana members.... Nilikuwa naomba Masaada wa maelezo kuhusiana na hili swala la ulipaji kodi ambalo TRA wameliongezea muda wa wiki mbili, hii kodi inayolipwa ni ya majengo au ardhi...
Many professionals need Dstv installer Jobs. Asides acquiring the raw knowledge and experience it's good to attend Dstv,Azam course, where you can get accredited installation training to become a...
Ina maana gani mtu kuweka kwenye nyimbo yake kava la muuza mkaa hii inamaanisha kuwa wauza mkaa ndo watu Wenye hali ya chini sana au ndo fikra za watu mbovu