Toka kaskazin mpaka kusini,mashariki mpaka magharibi naomba niwasalimu wana MMU wote!
Bila shaka kichwa cha habari kimesheheni maudhui ya matini hii.Nianze kwa kuorodhesha baadhi ya vitu hivyo ni...
Hivi nyie mnao andaa sherehe za harusi hapa dar ,kwa nn mnapenda kutulisha kuku za siku 10 , ???
Unakula kuku laini kama samaki mchanga ,
Jifunzeni basi ,,,mbina nyie mkija huku mikoani tuna...
Mtoto Ma asha Allah, nakupenda sana , Sheila naomba tuanzishe safari pamoja, nateseka sheila juu yako, inafikia kipindi usiporipoti habari kwa siku nachukia sana
Nadhani upo humu, hata kama haupo...
kama ilivyokawaida kwa nyuzi maalum hazijawahi kumuacha mtu salama.
basi tukutane hapa kwenye maswali na majibu ya ki Chit Chat
uliza swali lolote ukianza na neno Hivi ni kweli?? na usubiri...
Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka...
ni hivi wakati wife kasafiri kuna mtoto ni kawawa nampa lift for two weeks,sasa juzi wife amerud asubuhi tunaenda zetu job kufika ile mitaa ya yule mtoto ninaposimamaga kumpa lift kwa mbaali naona...
Members kumekuwa na maoni mbalimbali kutoka watu mbalimbali wakitaka wana j.f tukutane mahali tufahamiane,ili swala limekuwa gumu sana kwa baadhi yetu kama sisi hasa ukizingatia mazingira...
Karibuni members wote wa Jf kwenye haya mahojiano ya moja kwa moja, Yaani ni Mubashara kabisaaaa ambayo yataendeshwa na kusimamiwa na mimi STUNTER !
-
Na kwa siku ya leo tutakuwa na Mbobezi wa...
Habari wanabodi...
Kwenye kumbukumbu mzee wa kaya alisema ikifika tarehe 1/07/2017 kama bado uko mjini wewe ni mwanaume... Hebu tag wanaume wote tulioko mjini mpka leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakuu, wapenzi na wafurukutwa wa hili jukwaa la MMU, nawasalimu in the name of MMU. Bila kupoteza muda au kupepesa macho, naomba niende direct kwenye point. Kwa kweli kila ninapoingia humu JF...
Kweli Malinzi alikuwa kikwazo aisee yaani kawekwa "rumande" siku mbili tu, tumeshaaanza kuifunga South Africa
Je angefungwa mwaka kabisa si tungeshachukua kombe la dunia kabisa.
Kwenye hospitali ya vichaa, mwandishi wa habari akamwuliza daktari:
"Wewe huwa unatambuaje mgonjwa huyu ni wa kulazwa, na huyu si wa kulazwa "?
Daktari akajibu:
"Kuna njia nyingi ... kwa mfano...
Habari wakuu,
Kufuatia serikali kufuta road license na kuihamishia kwenye mafuta,nilitaka kujua vile vikaratasi vya road license kilichoexpire utaendelea kukiacha kwenye kioo au unakibandua?