JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna demu alipost "ALICHONIPA MUNGU HAKUNA BINADAMU ANAEWEZA KUKIONDOA" Nikacomment "BIKRA YAKO IKO WAPI?" Kaniblock:):):):)
4 Reactions
0 Replies
886 Views
Habari Nilitembeaga dar siku za karibuni ila hizi tabia za baadhi ya wanaume wa dar na (wenye tabia zinazofanana nazo) 1. Wanaume hawa wanajua perfumes, lotions, deudorant, lip bumbs(whatever)...
5 Reactions
110 Replies
8K Views
Tukumbushane asilia yetu.yongerao ebyanyeba Mbuga ipi ulikamatia senene Uliwahi kutengeza rubisi
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Maana kinachofuata hapo ni mzinga,kibomu ama kirungu cha either gas,luku,vocha ya elfu 20(kwa sisi wahongaji),kodi ya upande wa nyumba au mzinga tu wa kawaida huu wa laki laki za week end. #mwaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] YAAN WADADA WA SIKU HIZI BHANA, UNAKUTA YUKO BAFUNI ANAOGA HALAFU NYWELE KAZIACHA CHUMBANI... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Wana JF mpogo! Leo naadhimisha siku ya kuzaliwa, 11/5. Naomba muungane nami katika siku hii ya leo. Nakaribisha zawadi mbali mbali za pongezi I prefer pesa to maua/kadi
12 Reactions
115 Replies
12K Views
Kagera walilamba pesa za rambi rambi na leo arusha tena wamelamba pesa za rambi rambi.........yaan ni mwendo wa kulamba tu kama ice cream za azam:(:(:(:(:(:(
0 Reactions
4 Replies
985 Views
CHUKUA HII Jamaa wamevamia benki kuiba, mkubwa wao akawaambia wateja wote na wafanyakazi ndani ya benki: Laleni chini na kila mtu atulie jinsi alivyo. Hela ni mali ya serikali, uhai ni mali ya...
1 Reactions
2 Replies
711 Views
Kwa ambao hawana ajira kwa sasa kuna nafasi ya kazi safi na yenye kulipa vizuri sifa za mwombaji ajue kusoma na kuandika mahali ni KILIMANJARO maombi yatumwe kwa Mbinguni ili mkuu wa kaya alione...
1 Reactions
1 Replies
750 Views
Miaka kadhaa nyuma trh kama yaleo dunia ilipata kiumbe kipya,wazazi pamoja na ndugu na jamaa walifurahi na kushangilia ujio wa kiumbe hiki... Hatimae kikakua katika kimo na ufahamu mpaka hapo...
11 Reactions
299 Replies
11K Views
Nawapenda sana wanawake wa uswahilini kwa ubunifu wao.Hivi ni baadhi ya vicheko walivyocheka kwenye miaka tofauti. 2002 to 2004-walikuwa wanacheka "hehehe haloooo" 2005 to 2007-wakaja na "heheheee...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Hello chitchat. Leo naadhimisha miaka kadhaa ya tangu kuzaliwa kwangu. Am so happy, Kufurahia nitatumia my real pic . Kwa profile yangu. Nitakuwepo kujibu swali lolote mbalo mtu angepende...
1 Reactions
6 Replies
747 Views
Natumaini ni mzima na unaendelea vizuri esta, ulie mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua hii ni kukueleza tu kwa uwazi moyo wangu hakika unakupenda sana napenda tuwe wote ili baadae...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana nimeenda HARUSINI Nikakuta MILANGO MIWILI Wa kwanza umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BWANA HARUSI Mlango wa pili umeandikwa WAZAZI NA MARAFIKI WA BIBI HARUSINI Mimi nikaingia wa kwanza...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini Nimeamua nijithread mwenyewe ahahahahahahahaaaaaa Wakati unasonga na miaka inakwenda, Hata katika Bible, Mhubiri anasema hivi: " kuna wakati uliowekwa kwa kila mtu hapa duniani, hata...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
*Eti ww usietaka mwanaume suruali utamuweza mmasai na mashuka yakee* *nisaidie kushare* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya kushinda wana JF Nina shida naombeni msaada! Mimi naishi nyumba ya kupanga na mda mwingi nikitoka kazini naingia maeneo ya kupata moja baridi moja moto. Huduma ya choo na bafu namalizia...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Habar zenu wana jf kume kua na haka katabia binafsi hua nakachkia kweli kwa wanaume tuixhio mikoani (kama wanavyo tuita wanaume wa Dar) pale mnapo toka mikoan na kwenda Dar pindi mnapo rud tena...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
*mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango* Mazungumzo Huwa hivi... Wewe[emoji19]: EEEEEH Aliefungua mlango[emoji15]: AAAAAH...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…