Hii ilikua Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania,kulikua na mambo mengi Soka,kikapu,pete,kurusha Kisahani,Tufe,kukimbia,kwaya,hesabu klabu,lugha klabu...nk,ilikua burudani kwa kweli...
Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Habari wanabodi!
Naomba kuuliza kama umeshawahi kuwa na fake ID kwenye any social network.
Kama jibu ni ndio tueleze ilikuaje ukawa na fekero akaunti na ulikusudia nini?
NB: ID za jf hazihusiki...
jana nilienda kununua parachichi la 500 nikaomba mfuko muuzaji akanambia hatoagi mifuko kwa vitu chini ya 1000.......sasa leo nimeenda kununua vocha ya 1000 nikaomba mfuko mpaka sasa bado...
Jarida la Independent wametoa list ya Nchi mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na mambo maarufu yanayofahamika na kuwa kama tamaduni katika nchi husika. Nimeshituka kuona Bongo (Tanzania) ikiwa...
mi ningepewa nafasi ya kuwa mod angalau kwa dakika kumi tu, kitu cha kwanza kukifanya ni kuwapiga ban wale pro lumumba wooote wakiongozwa na barafu ya moto na MOTOCHINI.
Je wewe ukipewa nafasi ya...
Mheshimiwa ukitoka kwenye uhakiki wa umri njoo kwenye uhakiki wa rangi za ngozi maana watu rangi zao za shule ya msingi na sasa vitu viwili tofauti na hawa wako zaidi ya 90,000...
Kuna watu wakati najiunga JF walikuwa hawakosekani jukwaani lakini sasa hivi hawaonekeni:-
1. Supermarket
2. Technical
3. Shibe kijijini
Nimewakumbuka sana
Nawasilisha
Habari wadau
Napenda kuwataarifu kuwa mimi ni mzibua vyoo mashuhuri na mahiri katika kazi hiyo kwa wanaume na wanawake kama una matatizo ya kuziba choo chako ninao uzoefu na ujuzi na nazibua bila...
Jamani wacha Mungu aitwe Mungu, Mungu kaumba jamani kuna movie wadau nilikua naangalia dah mtoto mzuri balaaaa asa uko peponi sijui kuna kuwaje????? aise nimeona ni express my appreciation kwa...
Lupita huyu mrembo nampenda sanaaa yani ntafanya juu chini nimuoe kabisa!!na babake akisema nitumike shambani mwake miaka 7 nitamwambia hata miaka 14 si vibaya...huyu mtoto ningekua na $$...
je wewe ni model wa kike??
una umri kuanzia miaka 22 hadi 30??
unapenda kusafiri sehemu mbali mbali duniani??
unajua english kusoma na kuandika??
una passport??
kama vitu hivyo vyote unavyo basi...
Binafsi nachukizwa na tabia za washikaji wakitoka kujisaidia uchochoroni ama baa, mtu hajanawa na kuna probability kubwa pumbu zake si safi au kama kanya hajajichamba vizuri. Atarudi kukaa na...
Kuna hili swala moja ambalo silielew na hutokea kwa jinsia zote mbili
WANAWAKE:
Hiv upande Wenu kwann mnakua wakali sana mwanaume anapokuja kwako na kukwambia anaomba mgegedo kwa Ile ya moja kwa...