Dada zangu hiki kiatu kimetoka kiwandani Ijumaa ya juzi karibuni mniungishe bei ya jumla ni sh 19,500 na rejareja sh 24,000. Namba zilizopo ni 34-40 haipungui karibuni mniungishe
Mahindi gharama.....sukari gharama..... Condom bure.....
hivi serikali inafikiri sisi nguvu tunazitoa wap sasa Kwa mfano??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
*BONGO BHANA YAANI WENYE AKILI WENGI HAWANA HELA WENYE HELA WENGI HAWANA AKILI CHA AJABU ZAIDI NI WENYE KAZI WENGI HAWANA VYETI HALAFU WENYE VYETI WENGI HAWANA KAZI.*
kuna demu juzi nimemuomba namba zake, akanambia nipe zako bila hiyana kidume nikatoa namba zangu, alisema akifika nyumbani kwao atanipigia, sasa nahisi kapotea kwa sababu hajanipigia mpaka leo...
perfect_rahym_TZA
Kama umeshiriki tendo la ndoa na zaidi ya watu 10 huwezi kukiita kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI
Bali ni mali ya UMMA chini ya wizara ya utalii na burudani
Kama ni zaidi ya watu 25...
Hii ni simple test ya mwanaume mwenye jogoo ambaye bado anawika.
Ukitaka kujua kama jogoo wako hana kasoro, soma maneno yafuatayo hapa chini na assume umetumiwa text kama iyo na Mkeo au Girl...
Nimehangaika wiki nzima sina hela ya sabuni sasa nimesikia huku JF kuna mapovu ya kutosha hasa kwenye lile jukwaa la siasa.Naombeni japo beseni mbili za povu mwenzenu nifue nguo zangu naaibika mimi.
Habari wapendwa. Nimekuwa nikiota hizi ndoto za nyoka mfululizo nashindwa kuelewa kwanini.
Juzi niliota niko kwenye nyumba imezingirwa na nyoka wa aina tofauti wengine hata sijawahi kuwaona wa...
*Wife*= Honey can u please help me cleaning de garden?
*Husband*=Do i look like a gardener?
*Wife*=Sorry Honey, OK then fix de bathroom door.
*Husband*=Do i look like a carpenter?... then de...
salaam wana jf
ndugu zangu jana nimetoka mahakamani na natakiwa kurudi siku ya jumanne kila nionavyo nina dalili ya kuingia gerezani
Kisa nilimpiga muuza samaki, nilikuwa nipo ndani nikasikia...
Wale wa Ngulelo, Matejo, Ngaramtoni, Sakina, Mbauda hadi Kisongo hata Dukabovu huko Meserani huko kote na kwingine njooni tupeane maramani!
Hawa machalii wa dsm ni masoro sana kama mademu tu hv...
Kitu ambacho Tz tuko mbele zaidi ya USA ni Muda tu hakuna kingine.. Tuko mbele masaa zaidi ya 8 kutegemea na mji gani wa huko USA lakin vingine wametuzidi..
Habari wana chit chat
Katika wakati huu wa mvua nimejikuta nakumbuka nilichofanyiwa 2006 nilipokuwa form 3.
Mwaka huo kule Kibosho kulikuwa na mvua mfululizo hatari alafu baridi na ukungu...