JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1 Reactions
0 Replies
1K Views
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu wana cc poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.kichwa cha habari kimejitosheleza.lakini naomba kutoa muhtasar kuhusiana na ndoa kati yangu mimi mkiva na mchumba wangu preety.mimi na preety...
4 Reactions
70 Replies
4K Views
Nlikuwa kwenye choo cha jamii, mara nkasikia sauti kutoka choo kinachofuata; Sauti: Oi Mambo vipi?? ME: kwa kumind nikamjibu Poa2! Sauti: So Mishe zinaendaje? ME: kama wewe nime2lia hapa! Sauti...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani mimi namzimia sana huyu mdada picha hiyo hapo, Embu nambie star gani ww unaona ni mzuri kuliko wote (Wa Kike) ndani ya TZ. na HAPA
0 Reactions
71 Replies
16K Views
BI DADA KANUNUA CM MPYA...! Touch Screen Mdada : bebi mambwo Jamaa : poa nambie Mdada : vipw umelalw? Jamaa: unasemaje? Cjakuelewa hapo. mdada : nauliza umelalya? Jamaa: mmmh! Cjalala baby hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuona Zitto anaogopa kuwataja kama mlivyoogopa kuwataja wauza madawa ya kulevya a.k.a UNGA au SEMBE, mi nimeamua kuwataja tu kama noma na iwe noma, kama mbwai mbwai tu, ukimwaga ugali...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Lift ya kwenda Tarakea Tar 23.
1 Reactions
64 Replies
5K Views
Wakuu Mimi Ni Mwana Chuo Pale Mlimani, Nina Mengi Ya Kuandika Hapa Hapata Tosha In Short Nakaa Kibaha Kila Siku Naingia Saanane Usiku Nikitokea Chuo. Napata Shida Saana, Naombeni Kama Kuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HAPA KAZI IPO: Jaji: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo. MTUHUMIWA: Lakn ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa! JAJI: Hicho ni kithibiti tosha kabisa!. MTUHUMIWA: Basi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
MUME: Mke wangu naskia Beka katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu..! MKE:Mmmh! basi huyo atakuwa MAMA SAM maana yule ndo ANAJIFANYAGA MGUMU SANA.!! Je, huyu mama angekuwa...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Wabongo kwa kupenda vitu USED balaa... TV used, REDIO used, GARI used ona sasa hadi BOYFRIENDS na GIRLFRIENDS tunachukua used,je huyo ulienae sio used??????????
0 Reactions
8 Replies
3K Views
NANI MJANJA? BABA 1 Mlevi Nyumba yake ina shimo kubwa uani lenye maji Machafu ila halina mfuniko. Siku moja BABA karudi saa 8 usiku toka Ulevini mambo yakawa hivi; BABA: Funguaa!! MKE: Leo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
I love u all, Let me take this opportunity to wish u all best of luck in this festive season. If u plan to travel take care and enjoy and take care of ur family If u will stay where u r (not...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimo safarini...kiuchovu cha safari kimenisababisha ni uchape usingizi kidogo...ghafla na shtushwa na vicheko vikubwa vikubwa kutoka kwa abiria wote ndani ya chombo hicho cha usafiri. Watu wako...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu humu ndani! Nimepapenda kweli humu,naomba kukaribishwa!
2 Reactions
106 Replies
6K Views
mimi ni new member nipokeeni bandugu.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
HAPA KAZI IPO: Jaji: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo. MTUHUMIWA: Lakn ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa! JAJI: Hicho ni kidhibiti tosha kabisa!. MTUHUMIWA: Basi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…