BARUA YA WAZI KWA SIR GOD
eeeeeh mungu nihurumie mwanafunzi wako wa kidato cha 6,
mwanzo walianza kuturefushia mdaa wakasema tumalize mwezi wa 5 tukakubali,
PILI wakaja tena eee...
Mwalimu: taja madini yanayopatikana Tanzania. Mwanafunzi: maisilamu, masabato, malokole na maromani.
Mwl; safi sana mpongezeni
HIYO NDIO BIG RESULTS NOW!
na huyu lazima apate division 5
ticha kaingia darasani aya wanafunzi leo tunaanza na vitendawili
dent wa kike : kitendawili
wanafunzi : tegaaaa
dent wa kike : nivue nguo nikupe utamu
ticha : toa ujinga apa ndo...
Nimetoka zangu home jioni kumsindikiza mgeni. Nakutana na mtoto wa kike, bila shaka fom 4. Anatoka shule - kitu pekee kinachomtambulisha kuwa ni mwanafunzi ni Unifomu. Vinginevyo amekamata...
Sina namna ya kueleza dukuduku langu juu yako.
Eiyer, wewe ndie unaenifanya nimalize siku yangu kwa furaha.
Nafarijika sana nionapo likes zako, quotes na hata mentions.....katika wall yangu...
Mwanzoni mwa miaka ya1980 timu ya Nchini Kenya ilikuwa na Mchezaji wa Taifa anaeitwa OTIENO MBOO, Siku moja akawa Majeruhi, Kesho yake Magazeti yote KENY yakaandika "WAKENYA KUCHEZA BILA MBOO"...
hodihodi mkiva nimerudi babu shikamoo wakubwa habari zaleo.nimerudi tena bana ya kumaliza vikao vya mchakato wa tanzania tuitakayo sasa nipo likizo.nimeona nivema nirudi kijjn chitchat nikale bata...
Kwa mujibu wa tafiti ni kwamba;Kama umeshiriki tendo la ndoa na zaidi ya watu 8 tofauti,huna haki ya kuita kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI bali ni mali ya UMMA chini ya Wizara ya Utalii na Burudani...
Ilikuwa ni wakati wakubadilisha zamu katika Hospitali moja kuu hapa jijini Mwanza ,katika muda huo daktari aliemaliemaliza shifti yake akitoka katika chumba na yule anaeingia shifti kuingia na...
Nasikitika kutangaza kifo cha baba yake Member mwenzetu Negrodemus aitwaye mzee SALE, kilichotokea TANGA usiku wa kuamkia leo;
Msiba uko nyumbani Makorola, mazishi ni leo alasiri. Habari...