Smoke Weed to improve the quality of your life. KIKUNGU[/USER]"]Haahhaaa KIKUNGU, Wi-Fi, Hoshea, figganigga snowhite, Heaven on earth, Kaunga, Kongosho, King'asti
Duuh amini usiamini gari za geshi la polisiii zina namba PT kuna jamaa kasema maana yake ni PIGA TU (PT) hivi ni kweli?? :flame::llama:Mie simo nimesikia tu mtaani, kazi kwenu wanaJF
Kila asubuhi anasali hivi:
Eh Mungu mwingi wa rehema,
Naomba unizidishie moyo wa uvumilivu,
Nimvumilie mme wangu Arushaone,
Maana kazidi ukware.
Eh Mungu
Naomba unizidishie roho ya upendo...
Huu ni mchezo mpya kabisa hapa ambao I just dreamed up. Mchezo wenyewe ni wa kusema kitu chochote kwa jinsia nyingine (Opposite sex)
Kama wewe ni mwanaume, unaanza kwa kuandika neno Mwanamke...
May your birthday blossoms into
lots of dreams come true Baby ram
C.C. Mwenyekiti JF Rock City Wing Rock City, members wote Home First, Elizabeth Dominic, ThinkPad, Gedeli, beibe nasty...
Hope your special day brings you all that your heart desires.
Wishing you love, good health, success and happiness today and always.
Have a wonderful Birthday KOKUTONA full of pleasant surprises.
Good Morning
Habari za Asubuhi
Buenos dias.(Kiispaniola)
Marafiki zangu leo tujifunze kitu hapa ambacho kwa wale waswahili
watanisaidia kuweka vizuri haya maneno yangu, ingewaje ilinichukua...
Mods hii iko sehemu sahihi kabisa please dont move.
President Kikwete was exchanging a
Word with the Queen of
England.......
"Your Majesty, how do you run
such an efficient government?
Are...
Ndugu wapendwa na wadau wa chit chat, Amani kwenu. Awali ya yote ningependa kumshukuru Mwenye enzi MUNGU kwa kuendelea kutujaalia uzima na afya bure kwa kila mmoja wetu.
Leo nimekuja ili kuweka...
hi folks here.
nashangaa some men hawapendi football or basketball, hawapend hip hop wao zao taarabu tu! draft ndo kabsa! hv inakuaje inakua man hapend hvo vitu na huwa wanajifeel aje? share me...
Mzee mmoja wa Kihaya alivamiwa nyumbani kwake Bukoba usiku wa manane, badala ya kupiga 911 wamsaidie yeye akapiga simu Marekani eti anauliza:
Halloo Mutalemwa! Ni nani anavunja geti languu hapo...
sio kweli kuwa tumechukua milion 150 pale bank juzi. tumebeba m50 tu. uzushi huu umetusababishia usumbufu mkubwa kati yetu tuliochukua hela hzo. tuna uhakika kuwa hzo m.100 zmechukuliwa na staff...
Kama ni repost mtanisamehe
Padri alitangaza kila mtu atoe mchango kulingana na uzuri wa mke wake...bac watu wakaanza kutoa 50,000/=, 30,000/= na 20,000/=
Kuna jamaa akatoa 500/=
Padri akamuita...
Kwa mfano mimi nakumbuka enzi izo nilitembea umbali wa km 25 kwa miguu,kufuatilia wali wa sherehe alafu nikaukosa. weeeeeee nilila saaana nikiwaza nitaludi vipi home?..maana nilikuwa nimechoka ni...