Duniani 2naishi lakini kuna wa2 hawakuombei mema we cheki: daktari anakuombea upate ugonjwa,POLICE anakuombea uwe mhalifu, HAKIMU anakuombea upate kesi, cha kushanga mwizi pekee ndo anakuombea...
Usiku wa kuamkia leo kwa kweli nimeota vibaya sana.
Nilijikuta nadondoka kwenye mnazi mkubwa uliolala kwenye bonde kubwa. wakati niko katikati angani nikiwa napiga mayowe nikaona kinakuja kitu...
Siku moja mtoto aliona passport ya kusafiria ya mama yake ambayo baadhi ya detail alizoona ni kama ifuatavyo
NAME SALOME DANIEL
REGION MWANZA
BIRTH 1979
SEX F
Baada ya dogo kuona...
Kuna mwanaume alifumaniwa akiwa anazini na mke wa mganga ghafla nyeti za yule jamaa zikapotea yule jamaa akaenda kumuomba yule mganga msamaha alimbembelaza mganga akatozwa hadi faini mganga...
FILL THE FORM IN OWN HAND WRITING AND IN BLOCK LETTERS.
I'm _____________________________________ Hereby applying to marry your daughter Sir.
I am _____ years old.
Please answer the following...
utakuta binti ni rafik au mchumba anajua kabisa yeye yuko Tanzania wewe uko Asia/America. Harafu anakukaribisha chakula eti njoo ule .Ambacho naona usanii sasa ni pale anapotaka na yeye...
habari za asubuhi/mchana/jioni/asubuhi (kutegemea na eneo ulilopo) natumaini ni wazima wa afya , mimi hapa JF nilikua natembelea toka mwaka 2012 mwanzoni kusoma habari za kisiasa nikaja kugundu...
Juha alikuwa anahitaji pesa akaamua kumuomba mungu kwa njia yake mwenyewe akaandika kwenye karatasi (ewe m mungu mimi nahitaji pesa elfu 50) ikisha akaifunga karatsi kwenye bofu akaiwacha iruke...
Ngoma draw-wewe unaichakaza office ,housegirl wako anakuharibia home
Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload...
Hapa jirani kuna mzee mmoja alimfundisha mwanawe kuendesha gari na baada ya kuhitimu akamuahidi kumpatia gari ya kutembelea kama mwisho wa mwaka atatimiza masharti mawili.
1. Kunyoa nywele...
eti,ww ni muuza duka,kaja mteja
anahitaji kilo moja ya sukari,ila ww
una jiwe la kilo 10 na lingine la
kilo 7.
Utafanyaje apate hiyo kilo moja
anayoitaka?
Wakuu!
Msimu wa korosho ndiyo huu hapa tena unaingia...
Kipindi cha heri, kipindi cha mavuno!!
Sasa mabibo ni full available...
Binafsi nayapenda sana mabibo, juice kwa sana!
Karibuni...
Bibi kapigwa mtama na kibaka na kuporwa simu yake.Bibi akaanza kumfukuza.Baada ya kuona bibi hachoki kibaka akatupa simu chini na kuendelea kukimbia.Bibi akaokota simu yake na kuendelea...
baby ntumie bac salio elfu 1o
»»,afu ucsahau kuja naile hela ya viatu niekwambia elfu 7o na hela ya salon 50
»»c unakumbuka ile sherehe ya mdogo wangu nayo inatakiwa laki 2 hiyo nayo ya mhimu uc...
Yaani wakati wanakunawisha baada ya kunyoa , au kufanya masaji, mikono yao kama ina shoti vile, unabaki kusema tuu, aa eee, ndiooo, ee, sawa kabisa, unajibu hata bila kuulizwa mwee, sijui wachawi...