Hello bandugu.jamani nateseka sana juu ya huyu mrembo./Everlyn Salt kila nampomuoneshea nampenda haonekani kabisa sasa.leo nimeamua kumtuma mjumbe Mamndenyi popote ulipo nena na huyu binti...
Wadau..mi kusema cha ukweli sijawahi kupanda ndege toka nimezaliwa. Nataman sana siku moja kuipanda. Umri wangu ni miaka 35. Naomba tuelimishane....siku ya kwanza inakuagaje?..Nikifika pale airpot...
hodiii kwanza kabisa naomba mnikaribishe kwenye hili jukwaa but nimeonelea nitoe la moyoni kwa wadau maana now days nimekuwa addicted sana na jf kiasi kwamba nasahau mpaka ku do na ma baby na kuna...
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi wewe unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha nne Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Jamaa: Aaah sory nimechanganya nipo Kisutu
Demu: Mwee...
Pub marhaba,live band,warembo wa kumwaga,vich.upi nje nje na kaza wa kaza,wakware wote karibuni tujimwage,hilo libaba tumbo kubwa mtakaloliona kaunta ndo bishanga,bill yote juu yangu.
Heaven on earth wewe ubarikiwe una busara sana na una kila sifa ya kuwa wife material hata kwa comments na threads zako.
Mamndenyi nawe sana ubarikiwe nahisi una ndoa yako tayari dumisha mapenzi...
Wakuu sana,
Mimi Pangu Pakavu leo nimeota ndoto. Nimeota ndoto ya kusikitisha hadi sina amani kabisa. Nikiwa kitandani na mke wangu nimeota mke wangu anafunga ndoa na mtu ingine kabisa. Hata...
Wakati benki inavamiwa, nikapiga 112
nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLISI
TANZANIA
KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili
press 1 for
english press 2, nikabonyeza 1, sauti
ikasema kwa
ajali ya...