JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Alivaa rosary shingoni, msalaba wa rosary ukawa katikati ya mtindi. Chekibobu aliyekaa jirani yake akawa anamwangalia mdada mtindi wake kwa muda mrefu. Mdada akatambua chekibobu anamtizama kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hizi shule zetu za kyumba utacheka ufe, mwalimu kaandika ubaoni "KISS ME" watoto someni kwa nguvu wote "mwaaaaaaaaaaaa,............" Ushauri wangu wa bure huko bungeni waruhusiwe kuingia na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Tufanye mbinu zipi ili tufanikiwe kukitoa chama cha MAGAMBA madarakani? Nasema iv sababu naona kila sababu ya kushindwa inatunyemelea. (1)tumetaka katibu ibadilike na rasimu ishatolewa lakin...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
jamaa alikuwa kwenye usaili wa kuomba kazi. na mahijiano yalikua hivi boss: naomba cheti cha kuzaliwa jamaa: kwani huamini kama nimezaliwa?
1 Reactions
11 Replies
3K Views
mwanamziki akifa husindikizwa kwa NYIMBO,,mwanajeshi husindikizwa kwa kupigiwa MIZINGA,, kuanzia sasa mwalimu akifariki atasindikizwa kwa VIBOKO
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Transfer details: Bishanga kahama barcelona kwenda real madrid amu kahama toka arsenal ladies kwenda bayer munich frauen Nivea kahama toka liverpool queens kwenda manchester united sisters...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Zuzu mmoja alienda kumtembelea rafiki yake ilipofika ucku mvua kubwa ikaanza kunyesha. Mwenyeji: Duuh! Mvua ni kubwa sana,kama vip lala hapo sebuleni utaondoka asubuhi Jamaa:Sawa.Baaada ya mvua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna Babu kakutwa Stend ya Basi analia sana,kila wakimuuliza babu unalilia nini hasemi anaendelea kulia tu,wasamalia wema wakambeba hadi hospitali,Doctor akamuuliza babu unaumwa nini:Babu akajibu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na majambazi walikuja nyumba ya jirani nikapiga 911, nlichosikia nlichoka kwanza: Welcome to POLICE EMERGENCY CENTRE. For English, Press 1, For Kiswahili Press 2. Nikabinya 1...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ni KOKUTONA!!
3 Reactions
159 Replies
9K Views
Hakuna nani wala nani wote CHOONI!, Uwe maskini au tajiri wote CHOONI!, Hakuna umashuhuri wala nini wote CHOONI!, Uwe Raisi au Mbunge wote CHOONI!, Uwe Sharo au Hardco wote CHOONI, Uwe maarufu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mtu na Mkewe wanagombana chumbani,ghafla ugomvi unakuwa mkubwa na mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka,Mume anashangaa- anamuuliza,Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamaa kafumaniwa na mke wa mtu, akapigwa lakini akaweza kuchomoka uchi mpaka kwake.. MKE; Hee.. kunani? mbona hivyo? MUME; Majambazi mke wangu, wamenikamata, wameniibia kila kitu mpaka nguo na...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Babu kaenda kumtembeza mjukuu wake kwenye makaburi ya kijiji; BABU: Unaona kaburi hili huyu jamaa alikuwa mtu, nilimkopesha fedha, akajitahidi sana kunilipa, kwa bahati mbaya alikufa huku namdai...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Baadhi ya wanandoa husave ma hawara wao majina ya ajabu ajabu lakn huyu jamaa kafunika, Siku moja jamaa kaenda Bafuni kaacha simu mezani mara ka demu kake kaka mpigia mKewe akaiangalia kisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
calculate the angle of elevation of the man's eyes when he sees a bootylicious lady in a mini skirt alightining from a boda boda.! *scientific calculators are allowed* naomba tushirikiane...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MWALIMU WA CIVICS:What is family? Mwanafunzi:Family is a medicated soap. Mwalimu:Saafi sana,kitaeleweka tu,mpaka mishahara itakapoongezwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jini anayerandaranda kariakoo mida ya usiku
2 Reactions
33 Replies
7K Views
nampenda ila naogopa kumwambia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimeiona E. A Dating A fat man saw an advertisement, "Lose 5kg in a Week." He called and said, "I would like to join!" Lady: Ok! Be ready tomorrow at 6 am. Next morning,he gets to the office...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…