Ee Mungu,unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase na dhambi zangu.
Maana nimejua mimi makosa yangu,
Na dhambi yangu i mbele yangu...
ukitaka kuujuwa utu wa mtu basi upite katika njia 5.
Njia ya kwanza usafiri nae pamoja.
Njia ya pili ushirikiane katika mambo ya pesa na mali.
Njia ya tatu asikie habari isio nzuri...
MAHARI
KAMA MAHARI YATAENDELEA KUWA HIVI, MAMBO YA NDOA TUTASIKIA KWENYE REDIO TU.
Kijana Mmoja alienda kuposa maeneo ya fulana UNGUJA alidaiwa vitu vifuatavyo mbali ya MAHARI 1.5 miliyoun...
Kulingana na maandiko matakatifu, Lucifer maana yake ni " The Light Bringer ", " The Morning Star ". Kuna ubaya gani nikimuita mtoto wangu wa kiume jina Lucifer?... Kuna maelfu...
MPENZI wako anakupigia simu kuwa uende kwake haraka sana. Unachukua usafiri unaenda kufka mlangoni anakwambia kuwa leo ni birthday yako, unafurah kwa sababu amekumbuka. Kisha anakwambia akufunge...
Thanx God for what u have done tn my life, you have rised me from nobody to someone to be recognized, i had nothng u made me somethng to be proud of, i was so weak but u taught me how to endure my...
Hongera umefanikiwa kujiunga na freemason. Kila wik utapokea million 50. Kujitoa andika neno "NATAKA NIFE" kwenda namba 008090000.Nakutakia utajiri mwemaa
1.Nameless kupata jina.
2.Facebook imejaa sasa
2naandka chestbook.
3. TMK wanaume sasa
kuwa TMK wazee. 4.Mr 2 Sugu kuwa raisi
badala ya Diamond.
5.Babu Seya na wanawe
watolewa jela.
6.Bei...
yoga for relaxation - YouTube
I salute all MMU,
Nawakaribisha wana MMU wote mje kwenye yoga haya ni mazoezi ya viungo unakuwa imara na flexible kupinda vyovyote vile. Hii ni sehemu yangu...
CHEKA TARATIBU...
Jamaa watatu walikamatwa na bangi huko China. Wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurejea na matunda kumi kila mmoja. Wa kwanza akarejea na machungwa. Akaambiwa ameze...
Baba bahili kwa hela ni noma
Mtoto: Mama nimemuomba baba hela ya kusuka..kaninyoa kipara..
Mama: Una bahati mwanangu ungemuomba whitedent angekung'oa meno yote.
Mtoto: Duh! Je nikimuomba hela...
Bandari Salama
Dar es Salaam yaleo, ndiyo Bandari Salama,
Myaka mingi hadi leo, mji wenye usalama,
Mji wa maendeleo, mji wa walikwa nyama,
Karibuni ni walimwengu, mwone Bandari Salama...
Jamaa kenda kwenye interview. Alipofika akambiwa "wait please" Jamaa akajibu " 75 kg Sir" Wakaona Lugha Gongana haipandi Wakamuuliza Ushawahi kufika Chuo Kikuu Chochote? Akasema Ndio naenda sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.