JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni BCOm gani nzuri kusoma iliyo ktk Soko la Ajira
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Ee Mungu,unirehemu, Sawasawa na fadhili zako, Uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase na dhambi zangu. Maana nimejua mimi makosa yangu, Na dhambi yangu i mbele yangu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
ukitaka kuujuwa utu wa mtu basi upite katika njia 5. Njia ya kwanza usafiri nae pamoja. Njia ya pili ushirikiane katika mambo ya pesa na mali. Njia ya tatu asikie habari isio nzuri...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
MAHARI KAMA MAHARI YATAENDELEA KUWA HIVI, MAMBO YA NDOA TUTASIKIA KWENYE REDIO TU. Kijana Mmoja alienda kuposa maeneo ya fulana UNGUJA alidaiwa vitu vifuatavyo mbali ya MAHARI 1.5 miliyoun...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Kulingana na maandiko matakatifu, Lucifer maana yake ni " The Light Bringer ", " The Morning Star ". Kuna ubaya gani nikimuita mtoto wangu wa kiume jina Lucifer?... Kuna maelfu...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
MPENZI wako anakupigia simu kuwa uende kwake haraka sana. Unachukua usafiri unaenda kufka mlangoni anakwambia kuwa leo ni birthday yako, unafurah kwa sababu amekumbuka. Kisha anakwambia akufunge...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama wewe ni mkereketwa wa kurekebisha historia ya nchi yetu, na unataka dola yako tukufu ya Tanganyika irudi sema ' ndiyooooo'
1 Reactions
4 Replies
892 Views
Thanx God for what u have done tn my life, you have rised me from nobody to someone to be recognized, i had nothng u made me somethng to be proud of, i was so weak but u taught me how to endure my...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hongera umefanikiwa kujiunga na freemason. Kila wik utapokea million 50. Kujitoa andika neno "NATAKA NIFE" kwenda namba 008090000.Nakutakia utajiri mwemaa
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ingekuwaje kama kila uki 'do' na mtu mpya unapata kovu mwilini?
0 Reactions
32 Replies
2K Views
1.Nameless kupata jina. 2.Facebook imejaa sasa 2naandka chestbook. 3. TMK wanaume sasa kuwa TMK wazee. 4.Mr 2 Sugu kuwa raisi badala ya Diamond. 5.Babu Seya na wanawe watolewa jela. 6.Bei...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
yoga for relaxation - YouTube I salute all MMU, Nawakaribisha wana MMU wote mje kwenye yoga haya ni mazoezi ya viungo unakuwa imara na flexible kupinda vyovyote vile. Hii ni sehemu yangu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
CHEKA TARATIBU... Jamaa watatu walikamatwa na bangi huko China. Wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurejea na matunda kumi kila mmoja. Wa kwanza akarejea na machungwa. Akaambiwa ameze...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
0 Reactions
3 Replies
791 Views
Baba bahili kwa hela ni noma Mtoto: Mama nimemuomba baba hela ya kusuka..kaninyoa kipara.. Mama: Una bahati mwanangu ungemuomba whitedent angekung'oa meno yote. Mtoto: Duh! Je nikimuomba hela...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bandari Salama Dar es Salaam yaleo, ndiyo Bandari Salama, Myaka mingi hadi leo, mji wenye usalama, Mji wa maendeleo, mji wa walikwa nyama, Karibuni ni walimwengu, mwone Bandari Salama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari zenyu bana.. Nasikia Bishanga ni tajiri wa humu na mimi naomba niwe mke wako.
8 Reactions
164 Replies
10K Views
Jamaa kenda kwenye interview. Alipofika akambiwa "wait please" Jamaa akajibu " 75 kg Sir" Wakaona Lugha Gongana haipandi Wakamuuliza Ushawahi kufika Chuo Kikuu Chochote? Akasema Ndio naenda sana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
<<<siku zinaenda lakini tambua ya kwamba "penye chuki,hukuti busara">>>
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wana CC, habari ya siku nyingi sana? naomba wale ambao wako hapa mwalimu nyerere... tusalimiane jamani....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…