JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mambo 3 fanya kwa kufikiria sana. 1. MAPENZI 2. MAONGEZI 3. MAAMUZI Vitu 3 havimngoji mtu. 1. MAUTI 2. WAKATI 3. UMRI Mambo 3 usiyaone mepesi 1. DENI 2. MAJUKUMU 3. MARADHI Mambo...
0 Reactions
3 Replies
14K Views
WajaJF, Nimekaa katika kumbuka zangu nikakumbuka tukio hili; Nikiwa mdogo nilikuwa nawendaa sehemu moj ilipo kambi ya JWTZ kuchukua Mabaki ya chakula kwenye kambi hiyo kwa ajili ya mbwa wangu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
AJIRA NGUMU JAMANI!!!!! Jamaa m1 alienda kuomba kazi kwenye ZOO. Akaambiwa nafasi ya kazi ipo, hatuna sokwe. " Hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa" Jamaa siku ya kwanza akavaa...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwann hawaweki tz kwenye guinness book of records? reason: rasilimali zake vs umaskini wake!!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Content: BUNGE MODERN TAARAB inawakaribisha mashabiki wake kwenye uzinduzi wa albam yao mpya kabisa iliyobeba nyimbo za mipasho:- 1.Mkuki kwa nguruwe... (Spika Anna Makinda). 2.Mimba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku nzuri usilie kwakuwa zimepita bali ufurahi kwa vile zilikuwepo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Try not to become a man of success, but lather try to become a man of value" Albert Einstein.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kutokana na utata ulioko juu ya mtoto wa Bishanga na The secretary familia imeamua kuitisha kikao. Kikao hiki kitahusu wanaume wote wanaodai kuwa mtoto wa The secretary ni wao. Kikao kitafanyika...
0 Reactions
54 Replies
3K Views
  • Closed
Ndugu wana JF, nimesikitishwa sana na habari za Rais wetu JK kununuliwa suti na waarabu, hii sio tu imemdhalilisha yeye kama rais, lakini na sisi wananchi wake anaotuongoza. Nimeona ni vyema basi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Eti utafanya nini ikiwa unaamka ashubuhi unafungua dirisha halafu unakuta nje hakupo??????
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Wazee wa zamani wahuni kweli, sendozi walikuwa wakiziita MAKUBAZI, hebu neno hilo liite kinyume uone balaa lake kama si uhuni ni nini!!!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A: Kiduku B: Kwaito C: Charanga D: Mduara E: Sebene F: SUNSUMIYA Ndahani G:Nyingine itaje?
0 Reactions
41 Replies
4K Views
JIBU HARAKA KAMA WE NI GENIOUS.... Baba yake Marry ana watoto watano 1:Nana 2:Nene 3:Nini 4:Nono 5:...............?????
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nilifikiri Chadema ni machachari Bungeni tu ,kumbe hata hotelini! Sikia hii: Wenj: mwongozo chumvi haitoshi. Mnyika, Taarifa mh: mchuzi wa jana huu jamani Tundi: Kanuni ya17 ,Niliagiza kuku wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
A family somewhere in Africa struggle to kill a young crocodile for lunch after starving for three days with nothing to put in their stomachs. They found a diamond wort 3million us dollars and now...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo ndiyo siku ya Muungano wanchi mbili kati ya ZIMBABWE NA PEMBA!Kati ya mwaka 11964 Hi ni historia ya kuwekatika vitabu vya kumbukumbu na hii ilisemwa na Mwanachama wa chama cha mapinduzi...
1 Reactions
0 Replies
967 Views
Natangaza kuachana rasmi na kidumu changu Mentor. Copy kwa sacos nzima ya Mentor, AshaDii, Erickb52,n.k
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu nimekua nikifikiria huu mda tunaotumia kutunga sms za wazo la leo tungeulekeza kwenye kufikiri kubuni kitu kipya ambacho kitakuletea manufaa sidhan kama yule dogo wa UK...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Boflo na washikaji wenzake huko USA. Hivi kuna mtu anaweza kuwataja hao wengine? Boflooooooooo!!!!! Dada Kaunga , umemuona lakini Boflo hapo juu?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi hapa Mrembo by Nature atakuwa anawaza nini? 1-je amefumania? 2-Je amefumaniwa? 3-Je Ameunguza chakula cha mpenzi wake? 4-Je ame-miss tarehe za period sasa anahisi ana mimba? 5-Je...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…