jamani mm nimekuwa nikipata shida sana kila nikipita maana madem weamekuwa wa kinifata thana na wengine wamekuwa wakija home daily ...........na mm nina dem wang nina mpenda sana ila wote wanao...
Nataka yale mashati ya gucci sijui ni chui chui kama ya rweyemamu, na ile mikanda ya chumma chumma......kama ya
hahaha jamani mwenzenu tangazo hili la voda huwa naburudika sana
Copy Bishanga...
Mimi ni Mchungaji Ambilikile Mwaisapile-Babu wa loliondo. nawashukuru wajinga wote walioacha kazi zao nakuja kutalii katika kijiji cha Samunge,Nasema Asanteni sana,Pia nawashukuru wazinzi wote...
Zuzu alimwambia zuzu mwenzake. Mke wangu tunagombana kila siku ananidai talaka. Mwenziwe akajibu bora umpe tu msije mkagombana mpaka mkafikia kuachana.
Jana hamadi uso kwa uso na kiplagati26, nilikuwa navinjari maeneo ya westlands nairobi,kuna sehemu ya nyama choma inaitwa kwa njuguna,nipo kaunta nalamba ulabu ndo njemba moja ikaniuliza 'hivi...
1. A rat can last longer without water than a camel.
2. Yout stomach has to produce a new layer of mucus
every two weeks or it will digest
itself.
3. A female ferret will die if it goes into...
Namshukuru mungu kwa kunitangulia na kunifikisha Arusha Salama.
CC Arusha wing am in your town for 3 days .
CC Dar nishaondoka huko, thanks to the rain maana jua joto si kulieksipirience sana.
Habari Wadau!
kwanza naanza na samahani kwa wadada watakao kwazika nahili. Mimi sijui ni kwanini lakini huwa najikuta siwezi kununua mahindi ya kuchoma kwa wachomaji wanawake.Huwa naona kama...
Kesho jioni nina mpango wa kuwa mjini Arusha baada ya kazi kuniweka porini kwa wiki nzima. Sasa wana JF wa Arusha si tuambizane wapi pa kwenda na kukutana kesho jioni kuelekea usiku!
Siombi offer...
Jamaa katembelewa na kifo mambo yalikuwa hv; kifo:leo ni zamu yako nimekuja kukuchukua, si unaona kwenye list jina lako ni la kwanza? jamaa: sw basi karibu chakula ule ulale asbh ndo unichukue...
watu wote tunaishi kwa bajeti ila hii kiboko.
Mkinga mmoja alitumbikia kwenye kisima cha maji
akapiga kelele,Mkewe akaja na kamba mpya akamrushia,mume akauliza
"umenunua shilingi ngapi"?
Mke...
Watu wawili, mwanamke na mwanamme walikwenda kwa daktari mtaalamu wa mambo ya uzazi.
Daktari akawauliza, "Ninaweza kuwasaidia nini?"
Mwanaume akamwambia, "Tafadhali daktari unaweza...
Je, wajua kuwa vitu
vitamu huanza na herufi
"K" mfano keki,
kitumbua, kababu,
karanga,Kuku, kitimoto, kalimati,
TAJA KITU KINGINE KITAMU KINACHOANZA NA "K"
Habari zenu!
Kwa mara ya pili nimefanikiwa kutembea kutokea Mbagala mwisho hadi Mbweni ( masite ). msizoe sana kutumia magari, mkumbuke kutembea napo ni mazoezi.
'Ubarikiwe na siku yako iwe...
Afukuzwa hotelini, na kupigwa black list asikanyage hotelini hapo, mwenyewe adai binti alitaka kumbaka wakati alipokwenda kumtandikia kitanda.. Ahamia logde maeneo ya Pasiansi.....
More update to...