JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kile kitendawili kilichokosa jawabu cha kwa nini madogo wa mwaka huu wamefeli sana kidato cha nne sasa kimefichuka. Baada ya Serikali na Bunge kuidhinisha kuwa watu wote hawatajiunga na vyuo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MCHAGA anamdai MPARE hela. Huku MSAMBAA akishuhudia MPARE:nimesema sikupi bora nijiue... (kwa ubahili wake mpare akajichoma kisu akafa) ... MCHAGA:kiruu umejiua mbee sikubali na kufuata huko...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu.. Naona siku njema ambayo miaka kadhaa nyuma.. Kulikua na vifijo na nderemo bila kusahau vigelegele... Ambapo mtoto wa kiume alipozaliwa na mama aliye hai mpaka sasa... Miaka ya...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Imetokea baba yako mzazi anampenzi wake ambae ni mzuri mwenye kuwavutia vijana wengi ,umri wake ni sawa wewe au umemzidi kidogo ,lakini kuna hali imejitokeza anashindwa kujizuwia mnapokuwa peke...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Dada mmoja alikuwa anapita njia katika kijiwe cha wahuni,akiwa amevalia kitop kikionyesha uwazi baina ya maziwa yake. Juu ya hicho kitop amevalia mkufu wenye lakti ya ndege (aeroplane) ambayo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Napiga hodi baada ya kuaga na kujipa Ban binafsi... Dah.. Kukaa nje ya C.C Ni mateso aiseee... C.C.B (Chit-Chat Bachelors) Nimerudi, Wanandoa kama watu8 nimerudi...Walio vuguvugu kama noahism...
3 Reactions
69 Replies
4K Views
..Ni matumaini yangu wote humu ndani wazima afya tele...mi nawasalimia tu jamani....
1 Reactions
13 Replies
1K Views
1 Reactions
2 Replies
758 Views
1.Ndege ikipita ,simu inaandika 1 missed call 2.Ukiwa karibu na lorry likawashwa kitu kinaandika "Charger Connected" 3. Battery inajaa baada ya dk 3 .... 4. Simu ina...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
John alionekana kupona hvyo akatolewa kwenye hosptali ya machizi arudishwe kwao. Asubuhi moja akachukuliwa akapelekwa hadi jirani na kwake akaulizwa unapafahamu hapa? John: ndiyo nyumba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mchezo wa kanga moja maarufu kama kanga moko, umewatisha wabunge. Hali hiyo ilitokea bungeni jana wakati wabunge hao walipokuwa wakichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni...
8 Reactions
100 Replies
37K Views
...mpaka Kalvari..ooh, tusimame po' bila haya... .. .. Huu wimbo unanibariki sana! .. TUNAANZA WIKENDI KWA NJIA YA MSALABA!
2 Reactions
9 Replies
2K Views
..washikaji wangu wa A town vipi Mambo.. . Erickb52. Mr Rocky.. Crashwise.. ..na wa dar mambo vipi..? watu8.. Madame B.. Mamdenyi ...wana cc wote mambo vipi..?
6 Reactions
66 Replies
4K Views
A man & his ever nagging wife went out on a vacation to Jerusalem.While they were there,the wife passed away. The undertaker told the husband, "You can have her shipped home for $ 5000 or...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wandugu mfahamisheni kuwa anatafutwa kweli kweli na RF
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Utajua kama unasimu ya KICHINA kama_________ 1. Battery inajaa baada ya dk 3 .... 2. Simu ina Tv,microwave,torch,kikata kucha,mswaki,kiberiti cha sigara 3. Unaweza andika Msg kwa tooth...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Unasafiri kikazi, wakati unapaki nguo na makorokoro mengine, Mkeo anakupa box la kondomu "Honey chukua hizi in case ikitokea dharura". Unalipokea kwa tabasamu zito na kusema "Asante Mke wangu kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tukutane swarani kumkumbuka sir god
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Well, hello guys! It is Mei Mosi again, zamani zetu Rais wa Jamhuri ilikuwa ni lazima atoe hotuba kwa wafanyikazi, na matarajio yetu mara nyingi ilikuwa ni kupanda kwa viwango vya mishahara...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Leo ndio mara yangu ya kwanza kuja R Chuga, nimeona ni jiji zuri sana lina baridi la wastani, lakini nasikia ni jiji la kibabe, anaway suala kubwa lililönileta hapa ni kuwa nimefikia maeneo ya...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom