... Wadau ...
nåfaham kabisa leo ni Friday..
...nafaham kabisa "TUPO".. bar...
...nafaham kabisa kuna watu wamedhamiria kuzima usiku huu...
...na ninafahamu kwamba kuna WAZEE watarud leo home na...
Wamakonde ni noma,
katika kuwafukuza wamakonde ambao walikuwa wamezagaa town bila kazi serikali iliamua kutumia mbinu ya kuwauliza maswali ili kuwabaini coz walikuwa wamejichanganya na raia...
Dogo1,kamuliza mama yake,mama mbona me sifanan na ndugu zangu wote?
mama;kwann?
dogo;mbona me mweus kuliko wote?
mama;wasamehe tanesco,
dogo;kwanini?
mama;wakati babaako anapiga bao,umeme ulikatika.
Katika basi Mama mmoja alitak akumunyonyesha mtoto mtoto akakawa hataki mama akaona nibora amtishie mtoto ili aweze kunyonya kwani safaari ilikuwa bado ni ndefu!Mama akamwambia mtoto kama hunyonyi...
Kauzu..Kaanguka na kazirai nje ya kiwanda cha bia (TBL) wasamaria wema na wafanyakazi wakampa huduma ya kwanza kwa kummwagia maji ili azinduke..
mara akazinduka kwa ukali akapayuka "nyie...
Wanyama wote siku moja walikuwa darasani wanasoma,Mwalimu akawauliza swali, je ni mnyama gani ana maskio makubwa? simba akamgeukia punda kwa dharau na kuanza kumcheka sana huku akijibu haraka na...
Hivi mkipewa pesa ka buku 10 au pesa yoyote na mwanaume wakati hujamfanyia kazi yoyote wakati hiyo noti imeandikwa FEDHA HALALI KWA MALIPO YA SHILINGI ELFU KUMI.. huwa kamuoni noma? Ningekuwa...
Kuna Bwana Mmoja na mkewe walikuwa wakijadiliana idadi ya watoto wanaowataka baada ya kuwa tayari walikuwa wamekwishazaa watoto wawili wa kike waliokuwa wakipishan kwa miaka mitano. Bwana mkubwa...
Pole na kazi na Matumizi...
...huwa najiuliza,humu kuna wapiga chabo(viewers) wengi kuliko wenye michango ya mawazo inayoandikika...
tungefurahi kuona mawazo ya watu mbalimbali...mimi naamini JF...
Katika hali ya kushangaza jamaa mmoja mwenye matatizo ya kwenda haja kubwa bila kujijua akifika mshindo, alikutana na demu mwenye tatizo la kwenda haja ndogo akifika mshindo. Baada ya maelewano...
Habari wana JF.....:eyebrows:
Iko hivi Hapa JF nafanya biashara ya kukopesha pesa za akiba za familia ambayo ni joint account kwa members wa JF alafu wanalipa na riba kidogo. Nikiwa mama wa...
Siku moja wazee walikuwa wanakunywa pombe kirabun huku wakisikiliza mahubir kutoka kwenye radio mahubiri yalikuwa kama ifuatavyo: sku ya mwisho walevi pamoja na watenda dhambi ote watalia na...
Hivi ni marafiki zangu tu au?
1, Kuna mmoja kaweka picha akiwa kakaaa chini, mapaja nje hala kufuli jeupe linaonekana kwa mbaaali.
2. Kuna mwingine kaweka picha kavaa kanga moja halafu kalowa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.