"Nafungua Facebook account yangu, nakuta kuna notification ya friendship request kutoka kwa mtu nisiyemfahamu (Male), nacheck kuna kama common friend 10 hv kati yangu na yeye, naamua ku accept...
He's like pain in the as*
He's only been a curse
He's made my life worse
Now i'm looking for a better nurse
He's brought me so much pain
He's taken away my sun and brought me rain
He's...
Katika pitapita zangu nimewahi kuona mapacha wengi wakiwa na maadili na kuwa na tabia njema,ila sijawahi kuona
mapacha wamekuwa na maadili mabovu kama uwizi,ubakaji etc
Hivi ni mimi tu sijawaona...
Dogo mmoja alifanya kazi ya ubaharia kwa miaka mitano then akaacha kazi. Siku moja akiwa matembezi na baba yake, akawa anatembea kwa ku"swing" sideways. Baba akamuuliza: What hell is this my son...
Kila anapozaliwa binadam ataitwa jina kama utambulisho wake. Hata Mwenyezi Mungu alipomaliza kazi ya kumuumba mwanaume alimpa jina la Adam na mwanamke akamwita Eva! Majuzi kuna muumini wangu...
Foleni ndeeeefu kwenye daladala,
Jamaa kaona heri amtumie SMS bosi wake kumtaarifu kuwa atachelewa.
Ile kumaliza kuandika tu, kibaka kakwapua simu.
Jamaa kwa kujua kitakachofuatia...
Tunaambiwa na madokta kwamba maziwa ni mazuri kwa afya na yanaleta nguvu mwilini.Okay,nenda kanywe lita 5 za maziwa halafu kajaribu kusukuma ukuta,hutaweza kamwe..........................Hebu piga...
Padri mmoja alipoteza jogoo wake. Siku ya jumapili kanisani baada ya mahubiri akauliza, nan ana jogoo? wanaume wote wakasimama. Akasema hapana nasema nani kamuona jogoo? Wanaweke wote wakasimama...
Mchina alipigwa mtama na kibaka na kuporwa simu,mchina akaanza kumfukuzia kibaka wake,kibaka alipoona haichwi akaweka simu chini halafu akaendelea na mbio,mchina akachukua simu yake na kuendelea...
Mtu moja mcha Mungu alipewa nafasi ya kuomba kitu chochote kwa Mungu kwa sharti kuwa atakachoomba rafiki yake atapewa mara mbili yake. Jamaa akafikiri akaona akiomba kitu chochote kizuri mwenzake...
An Airline Introduced A Special Package For Business Men. Buy Ur Ticket Get Ur Wife's Ticket Free. After Great Success, The Company Sent Letters To All The Wives Asking How Was The Trip.
All Of...
A fellow talking to his friend says, "How can I tell if my girl is a virgin ?"
Friend tells him, "You have to wait till your wedding night, you show it to her and ask what it is. If she calls it a...
Nipo hapa mkoani dodoma , nimetembelea muda huu bar maarufu ya carribean jirani na ofisi ya bunge nimekuta madaktari wengi sana wakiondoa stress kwa kupata vinywaji source ni phd mwenyewe...
Jangle: na kasuku wake ndani ya banda la makumbusho....
Jangle;"haya jiipatie kasuku wenye uwezo wa kuongea lugha 2 za kimataifa...
1.akinyanyua mguu wa kulia anaongea "kingereza"...
Askofu aliendesha harambee
kuchangia ujenzi wa kanisa. Wakristo
wakatoa Tshs75,050 tu. Ghafla
majambaz wakateka kanisa na
kuamrisha kila mtu atoe alichonacho!
Wakakusanya Tshs 8,945,800 kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.