JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nilitaka kufahamishwa na wanajamvi wenzagu,je utajuaje huyu member ni me au ke? Sidhani kama niko sahihi lakini hahisi kimojawapo ni upangiliaji wa maneno kwenye comment. Siamini kabisa kuwa...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...; 1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli. 4...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
ona hio njemba kushoto ilivyovaa......
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hii imemtokea jamaa mmoja. Anasema alikuwa amesafiri kwenda mkoa mmoja huko kanda ya kusini. Alipofika huko kwa bahati mbaya akapoteza pochi yake ambayo ilikuwa na pesa taslimu pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A for ATM B for BLACKBERRY C for CPU D for DVD E for EXTERNAL F for FACEBOOK G for GOOGLE H for HAMMER I for I-PHONE ...enzi zetu sasa!!
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Kipofu ana mke tena anampenda sana lkn kiziwi anatembea na mke wake kipofu! Mungu si Athuman,bubu siku moja akafumania bahati nzuri n kipofu alikuwa karibu,tatzo ni maelewano! Hebu niambie bubu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wagonjwa wawili walikutana hospitalini,moja alikuwa amepata ajali ya miguu na mwingine alikuwa amepooza mwili. Wagonjwa hao walizoeana,walielezana na kuambiana mambo mengi ya kimaisha,kutiana moyo...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
leo nimejikuta namkumbuka mjomba wangu mmoja....... hivi...ambae niliwahi kwenda kuishi likizo moja nyumbani kwake.... nilikuwa sijui kuwa mjomba yule mlevi...mbwa... alikuwa akija home...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Baada ya kupata msosi katika restaurant fulani,Bill Gates alimpa mhudumu $5 kama zawadi.Mhudumu akapokea ile pesa kwa mshangao mkubwa,akamwambia Bill gates;'ni jana tu alikuja mwanao hapa,baada ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Musa:Mambo Juma:Poa Musa:hamjambo Juma:Sie wazima,za uko? Musa:Huko kwema,ndugu na jamaa? Juma:Ni wazima,sijui huko. Musa:Huko Shwari kabisa,vipi shemeji na watoto? Juma;Wazima kabisa.Kazi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kila nikitembelea profile yake na kuangalia avatar yake ndio inanimaliza kabisa, anaonekana ni mpole na mtaratibu kutokana na avatar yake jinsi ilivyo..
1 Reactions
211 Replies
12K Views
A Scottish couple decided to go to Spain to thaw out during a particularly icy winter. They planned to stay at the same hotel where they spent their honeymoon 20 years earlier. Because of...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Alinimbia kuna ku chat.. Nafikiri ndo hapa..wadau..
1 Reactions
60 Replies
4K Views
Aliwafanyizia wazungu na wakambeba kwenye machela (kama wazungu walivyokuwa wanabebwa na Waafrika enzi zile!)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya ndugu watazamaji wa kituo chetu bora cha habari,ile mechi kali kati ya serikali na madaktari karibia kipindi cha pili kinaanza. HALF TIME ndo inaisha leo,timu zote zinajitaarisha kutoka...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Wadau sijui ni ushamba wangu, au ni kutokuelewa. Suala la vinywaji kuendana na tukio, mlo, wakati au sehemu, linanipiga chenga. Inawezekana mezani tumemaliza kula, kila mtu akiwa na glass yake...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Pepo za umeme zitavuma taratibu kutoka upande wa kusini mwa Dar es Salaam kuelekea upande wa Kaskazini. Hivyo kutakuwa na umeme mchache maeneo yote ya Jiji na ngurumo nyingi za Jenereta pande za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1. The nice men are ugly. 2. The handsome men are not nice. 3. The handsome and nice men are Gay. 4. The handsome, nice and heterosexual men are married. 5. The men who are not so...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini za jioni, Leo nataka wababa, tukae tupige story laini laini, si za kuumizana migongo, vichwa wala moyo. Kama mjuavyo, leo akina mama si siku yao. Uzunguni, labda wamepelekwa...
2 Reactions
128 Replies
7K Views
Anamtambulisha mdogo wake kwa rafiki zake'," Rafiki jangu,nyie kummona uyu bwana ndogo, yeye wa kunifatia mimi. Baada ya kuzaliwa mimi,na ule nchezo kumnogea mama,basi ndo kumpata huyu ndogo wangu...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…