JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
"Nafungua Facebook account yangu, nakuta kuna notification ya friendship request kutoka kwa mtu nisiyemfahamu (Male), nacheck kuna kama common friend 10 hv kati yangu na yeye, naamua ku accept...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Ndio Udaktari ni Wito! Lakini Wito usiothaminiwa ni zigo la misumari! Halibebeki! Ubabe na longolongo za nini? I SUPPORT DOCTORS!
0 Reactions
4 Replies
750 Views
ni vitu vitatu lakini..muhimu sana kwa binadamu...na haiwezi kuviruka 1..N.j.a.a 2.N.y.e.ge 3.M.a.ra.dhi kama vipi ongeza vingine
0 Reactions
31 Replies
3K Views
He's like pain in the as* He's only been a curse He's made my life worse Now i'm looking for a better nurse He's brought me so much pain He's taken away my sun and brought me rain He's...
5 Reactions
486 Replies
18K Views
Katika pitapita zangu nimewahi kuona mapacha wengi wakiwa na maadili na kuwa na tabia njema,ila sijawahi kuona mapacha wamekuwa na maadili mabovu kama uwizi,ubakaji etc Hivi ni mimi tu sijawaona...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Leo ni sikukuu yebu kila mtu achagua chake hapo, then ananunuliwa on the spot. ni zawadi hakuna pay back.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Dogo mmoja alifanya kazi ya ubaharia kwa miaka mitano then akaacha kazi. Siku moja akiwa matembezi na baba yake, akawa anatembea kwa ku"swing" sideways. Baba akamuuliza: What hell is this my son...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila anapozaliwa binadam ataitwa jina kama utambulisho wake. Hata Mwenyezi Mungu alipomaliza kazi ya kumuumba mwanaume alimpa jina la Adam na mwanamke akamwita Eva! Majuzi kuna muumini wangu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Foleni ndeeeefu kwenye daladala, Jamaa kaona heri amtumie SMS bosi wake kumtaarifu kuwa atachelewa. Ile kumaliza kuandika tu, kibaka kakwapua simu. Jamaa kwa kujua kitakachofuatia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunaambiwa na madokta kwamba maziwa ni mazuri kwa afya na yanaleta nguvu mwilini.Okay,nenda kanywe lita 5 za maziwa halafu kajaribu kusukuma ukuta,hutaweza kamwe..........................Hebu piga...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo ni birthday ya mmiliki wa Calabash, hivyo saa 12 watu 50 wa mwanzo kinywaji cha kwanza bure
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Padri mmoja alipoteza jogoo wake. Siku ya jumapili kanisani baada ya mahubiri akauliza, nan ana jogoo? wanaume wote wakasimama. Akasema hapana nasema nani kamuona jogoo? Wanaweke wote wakasimama...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mchina alipigwa mtama na kibaka na kuporwa simu,mchina akaanza kumfukuzia kibaka wake,kibaka alipoona haichwi akaweka simu chini halafu akaendelea na mbio,mchina akachukua simu yake na kuendelea...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Mmaasai alienda hospitali, baada ya kuandikiwa dawa akaambiwa aende kuchoma sindano. Akashangaa kuona nesi kachukua pamba halafu anasugua makalio ili amdunge sindano. Kuona anachomwa sindano kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtu moja mcha Mungu alipewa nafasi ya kuomba kitu chochote kwa Mungu kwa sharti kuwa atakachoomba rafiki yake atapewa mara mbili yake. Jamaa akafikiri akaona akiomba kitu chochote kizuri mwenzake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
An Airline Introduced A Special Package For Business Men. Buy Ur Ticket Get Ur Wife's Ticket Free. After Great Success, The Company Sent Letters To All The Wives Asking How Was The Trip. All Of...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A fellow talking to his friend says, "How can I tell if my girl is a virgin ?" Friend tells him, "You have to wait till your wedding night, you show it to her and ask what it is. If she calls it a...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo hapa mkoani dodoma , nimetembelea muda huu bar maarufu ya carribean jirani na ofisi ya bunge nimekuta madaktari wengi sana wakiondoa stress kwa kupata vinywaji source ni phd mwenyewe...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Jangle: na kasuku wake ndani ya banda la makumbusho.... Jangle;"haya jiipatie kasuku wenye uwezo wa kuongea lugha 2 za kimataifa... 1.akinyanyua mguu wa kulia anaongea "kingereza"...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Askofu aliendesha harambee kuchangia ujenzi wa kanisa. Wakristo wakatoa Tshs75,050 tu. Ghafla majambaz wakateka kanisa na kuamrisha kila mtu atoe alichonacho! Wakakusanya Tshs 8,945,800 kisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…