Wadau hebu nisaidieni, gari yangu ya IST ya mwaka moja tu toka niagize inatoa mlio kama lori huku moshi ukiwa una harufu kama Petroli mbichi.
Kuna baadhi ya watu wameniambia huenda wajanja...
Habari wadau.
Nilipita mtandaoni kumchekia ndugu yangu gharama za kuagiza gari yake binafsi. Sasa nimeingia katika calculator ya TRA naona vitu tofauti kabisa.
Sehemu za kujaza zimeongezeka na...
Wadau nimeona mpaka EAM tena huku mkoani kabisa kulikoni namba E inakimbia hivi ni watu wananunua sana magari au walificha magari walipoona namb D inamalizikia au ndio maisha bora kwa kila...
Wadau wenye magari habari zenu, heri ya xmass na mwaka mpya.
Naomba kushea na ninyi jambo lililonikuta katika pitapita zangu katika magereji mbali mbali hapa Dar es salaam.
Nilikuwa na gari...
Habari zenu wakuu natumai muwaziwa wa afya.
Nikijikita kwenye mada husika ninaposema pikipiki za kichina hapa namanisha KINGLION, FEKON, SINORAY, HAOJUE n.k.
Maana kwa huku mkoani hizi ndio...
Use of Lights...........
There are different types of lights in a vehicle, which are intended to be used in different situations.
As a driver, it is very important for you to know the...
. If you have a breakdown, think first of all other road users and -
a) Get your vehicle off the road if possible;
b) Warn other traffic by using your hazard warning lights if your vehicle is...
Nimeona hili swali sehemu. Kuwa gari nyingi za kisasa zinakuja na compressor za umeme. Lakini inapoharibika ukienda uliza wanakutajia bei tofauti kati ya comp ya umeme na ya pump.
Hata bei zipo...
Habari wakuu
Kwa bajeti ya milioni 10 hadi 11 naweza pata gari gani show room .Hapo unatia funguo tu na kuondoka habari za kodi zisiwepo .
Au nicheki kwa 0713 039 875
Habari wakuu, nahitaji kununua hii gari Toyota(ist)nafahamu kuna za cc1200 na cc1400, lakin nimeambiwa niwe makini hiz za cc1400 nyingi ni zina option ya 4WD na baadhi hazina, so naomba msaada...
Siku moja miaka ya nyuma kidogo Jamaa mmoja aliingia pale Coco beach mida ya mchana na IST yake, sasa alipofika alikuta parking imejaa ila katika kutafuta jamaa wa parking akamuita, Kulikua na...
Wanajukwaa heshima kwenu.
Katika pilikapilika za kujiajiri kuna kipengele nimekwama, nahitaji tolori bora kwa ajiri ya kubebea zege, je ni wapi naweza kupata tolori imara? Maana kuna moja...
Wadau naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hili anisaidie, nimenunua vitz rs kwa mtu na katika kupiga mahesabu naona inaenda 8km per litre, sasa kwa uzoefu wangu ilipaswa angalau ifikishe 12km...
Wakuu Habari.
Nimekuwa nikipaka rangi kwa mafundi wa hapa na pale kila ninapopata tatizo la body ya gari.
Hii imepelekea gari kuwa na rangi tofauti tofauti mfano mlango unakuta rangi imekolea...
Wasalaam wakuu,moja kwa moja kwenye mada.
Mimi Napenda Sana hili gari Aina ya Toyota ipsum old model,yaani hii gari ipo moyoni sio siri.
Naomba kujua bei yake kutoka Japan mpaka Dar au kama...
Wakuu nina passo 1kr piston 3 mwaka wa 2 na nusu naitumia na safari zangu ni hapahapa town ila nimegundua kwamba inakula lita 1 kwa km 9. Nadhani kwa passo labda inakula km 15 kwa lita ila naona...