Greetings wadau wangu,
Please Naomba ushauri sahihi kuhusu gari tajwa hapo juu, Mimi ninahitaji gari SUV ya diesel ambayo Ina reliability ya Hali ya juu, durability ya Hali ya juu, stability ya...
Wadau poleni na majukumu.
Ninahitaji gari Toyota succeed, 2 wheels iliyotumika hapa Dar, yenye hali nzuri.
Bajeti yangu ni 7mil.
Mwenye nayo tuwasiliane
0624 210 241
Wakuu kuna mdau yupo kwenye IST ila kwa sasa anataka abadili kutoka IST hadi kumiliki kati ya Harrier au Klugger.
Kwa namna ambavyo wajuzi mpo humu naomba tumsaidie mdau, je ni gari gani kati ya...
Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu...
Habari zenu wana janvi.
Kuna ishu imenipata ninataka ku repair gari yangu katika kupaka rangi na kunyoosha body ikae sawa, irudi mpya( gari yangu ni Toyota Verrosa, silver) ni sehemu ndogo ndogo...
Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu.
1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke).
2. Jinsi ya Kupata Leseni ya...
Gari yangu ni Toyota Kluger,
Kuna siku ilileta shida nikapeleka gereji pale kariakoo
Kuanzia hapo imeanza kuwa na mlio mbaya, haina nguvu, na consumption ya mafuta imekuwa juu Sana
Sasa...
Kama Heading inavyosomeka,tupendekeze route Mpya ambazo zinahitaji usafiri wa mabasi kwa kuanzishwa route Mpya au kuongeza idadi ya mabasi.
Mimi napendekeza route zifuatazo,
Mbeya-Kahama via...
Kuna jambo moja ambalo watu wengi huwa ni kama wanachukulia poa lakini kiuhalisia lina maana kubwa, jambo hili ni kubadili jina la umiliki wa gari au chombo chochote cha moto
Nazungumza haya kwa...
Safari ilikuwa tar 11 Dec kuamkia 12 Dec
Gari, Toyota Allion 1.8L
Wese la laki 2 tu Dar_Shy
Safari ilianza saa 12 jioni, hadi saa 12 alfajiri.
Wadau wengi nilikutana nao barabarani, wakienda...
Gari yangu juzi nligongwa na boda shavu la mbele mkono wa kushoto baada ya mlango wa abiria mbele, nikapeleka jana garage ili wanirekebishie, sasa mm huwa siwaamini kabisa mafundi so huwa sitoki...
Huyu mdada Yuko njema sana nilikuwa napita pita YouTube nikaona vids zake
Piloti Bambi
Inaonesha Ana ulewa sana na hayo maswala kakulia huko, check it out hizo vid utaziona kwa ukaribu...
IST inatumia mafuta kiasi gani kwa safari ya kutoka Arusha Mpaka Marangu? Kwa google map ni takribani km 119. Kwahiyo kwenda na kurudi ni km 238+. Je hapo zinahitajika lita ngapi?
Kuna baadhi ya watu wanamaliza mikataba na bado Vyombo vyao vinakuwa imara kabisa
Sasa ndugu zangu ni mambo gani ya kuzingatia ili kutunza Bajaj
Karibuni Sana
Habari viongozi,
Naomba mwenye ujuzi wa Toyota Prado tx 3rz, kuhusu ulaji wake wa mafuta. Mjini inatumia lita 1 kM ngapi? Na high way lita 1 km ngapi? Na kama inakula zaidi mafuta tatizo...
Morng
Gari aina yo forester ni gari ambayo inaongoza kwa kusajiliwa kwa wingi kwenye namb mpya hi E
Ina maanisha kwa sasa ndio gari pendwa kuwahi tokea.
Nimemaliza