Wakuu mafundi na wengineo kiujumla ...msaada tafadhali ..nina boxer 150 usiku nikipak nje na wakati wa baridi inasumbua sana kuwaka pia ikinyeshewa mvua ...... inasumbua sana kuwaka...msaada nini...
Wakuu mambo vipi?
Mapema mwezi October nina ndugu yangu wa karibu anaoa huko Singida maeneo ya Itigi.
Ninapaswa kuhudhuria hiyo harusi sasa nauliza kwa wazoefu kutoka Dar mpaka Singida hapo Itigi...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza
nimenunua ki Gari fulani hivi bibayabaya ambacho kinaweza kunitoa sehemu moja kwenda nyingine
kihistoria mimi sijawahi kumiliki gar hata mwaka...
Heshima mbele Jf ...
Naona bado asilimia fulani ya watu wapo kizani, kwenye suala zima hili la gharama mbali mbali ambazo watapaswa kugharamia mbali na ushuru wa TRA kwaajili ya magari yao...
Hbari wana jf,
kuna dogo anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi, mwezi wa tatu alifanikiwa kuagiza gari yake toyota carina ti, ni mpya na kiukweli kaitunza, ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na...
Nisaidieni wadau
Rav4 hii iliendeshwa na learner ikaingia mahali ikaatamia kifua (sijui wenyewe wanaita hivyo). Dereva akawa analazimisha kuitoa kwa kukandamiza sana mafuta ikashindikana...
Habari zenu wataalam wa magari, nilikuwa naomba mnipe mwanga kama hizi engine zinafanana,,,
G kavu hizi hapa je zinaingiliana na 3s
1G-E
1G-EU
1G-FE
1G-GEU
1G-GE
1G-GTE
1G-GP/GPE
Namba mpaka leo hii zimefika T 100 EAG. Unahisi itachukua muda gani kufika T 100 FAA tukiangazia kipato cha Watanzania kumiliki gari na uchumi wa dunia unavyoenda. Na wewe ukakamatia ndinga ya...
Wakuu kama uzi unavyojieleza hapo juu ni kweli kabisa napenda sana gari zenye turbo kama vile Subaru au gari ndogo yeyote ambayo imefungwa turbocharger
Tatizo sina uzoefu nazo hasa katika...
Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja.
Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward. Wenye...
Naomba ufafanuzi wa taa ya ABS Imewaka hata sijui gari ina shida gani. Nimejaribu kugoogle nimepata maelekezo ila nahitaji msaada wa watalaamu zaidi.
Nini madhara ya kuendesha gari taa ikiwa inawaka?
Habari zenu wanajamii. Mwenye gari Suzuki Escudo old model au RV4 old model nahitaji. OFA yangu milion 5 itaongezeka kutegemea na ubora wa gari.
Wale maboss wa namba E mtupeni hizo namba D na C...
Samahani kwa usumbufu hapa kidogo naomba niulize swali hapa kwa wale unaojua. Nataka ni nunue Volkswagen t roc 2018 hii gari ni nzuri san imetulia na ulaji wake wa mafuta ni wakawaida san sasa...