JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wakuu. Ninatarajia kuchukua Nissan Dualis. Napenda kujua ni oil zipi (Brand na vipimo) na ni gereji ipi kwa hapa Dar es Salaam wana mafundi wazuri wa Nissan? Pia kuna uzi niliusoma...
2 Reactions
31 Replies
11K Views
Picha: Nissan Dualis Wakuu nianze kwa kuwasalimu na kuendelea kukumbushana pia kuhusu namna ya kujikinga na hili gonjwa la sasa.. Corona Naomba nije kwenye topic kuu sasa. Nimekuwa nikitamani...
4 Reactions
201 Replies
67K Views
Wadau naomba kama kuna mtu anajua fundi/garage nzuri ya kuripea body ya gari, maeneo ya gmboto, mwisho wa lami, Pugu kona na Chanika road, asiwe mwizi wa masega na bei za tamaa.
1 Reactions
2 Replies
619 Views
Mzigo tayari hii ni ni 22/08/2022 mzigo tayari uko mtaani kazi ni juu yako wewe mwenzangu na mimi wale wa no c uzen magari yenu mapema maana yanaenda kushuka thamani kwa kiwango cha ajabu Haya...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na hii gari ikiwa na namba ya usajili wa DZZ kuashiria kuwa muda wowote kuanzia sasa Namba D itajaa na kuanza kutumika kwa namba E.
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari za muda huu wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 24, katika mishemishe za maisha nimefanikiwa kukusanya kiasi fulani cha pesa. Nina mpango wa kununua gari ndogo isiokula mafuta(maana mi ni mtu...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Nawasalimia kwa jina la jamuhuri kazi iendele Kwa kifupi naomba kufikisha ombi langu kwenu wakuu. Mimi kama kijana natamani sana kujifunza ufundi hasa wa pikipiki na vingine pia kwan ufundi ni...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari ndugu wa jukwaa hili na wanajf kwa ujumla.. mimi ni kijana miaka 24 kabila msukuma naishi tabora, nina elimu ya kidato cha nne. Niko hapa kuomba sehemu ya kufanya kazi (Gereji) kama...
3 Reactions
3 Replies
860 Views
majority humu mnaendesha magari. Je, engine yako inafanyaje kazi? C&P
1 Reactions
0 Replies
575 Views
Kama wewe ni mtumiaji wa BOLT katika safari zako hapa town utakuwa umenotice mabadiliko makubwa sana kwenye huduma za hawa watu. Nikiri wazi bolt na uber ni solution kwa usafiri hasa karika miji...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano. Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee...
3 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari wadau. Kuna wizi wa ajabu sana kwenye magari. Wanaiba cover ya nyuma ya side mirror tu sababu ni rahisi kuzichomoa. Hawachukui side mirror nzima. Na wanaiba sababu wanajua mwenye gari...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Hizi Fuel injection cleaner zinasaidia lolote katika gari? Naomba ufafanuzi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa kwenye uzi wa tunaosubiria namba E sasa namba E imetoka nimekuwa na harakati za kutafuta ndinga ya kunifaa ila tatizo linakuja kila ninampomshirikisha mdau ninayemfahamu kuna...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Kipindi hichi barabarani si ajabu kabisa kukutana na magari kadhaa yamezima katikati ya barabara kwasababu ya kuishiwa mafuta. Hali hii husababisha ongezeko la foleni kubwa hasa kipindi cha...
4 Reactions
1 Replies
657 Views
Chunguza upepo wa gari yako #Roadlife.Tuendelee kukumbushana kuwa dereva ukiendesha lori lako jitahidi kuangalia geji zako zote mara kwa mara,tofauti yake ni kuwa madereva tunaangalia saana geji...
2 Reactions
2 Replies
710 Views
Kama una hela za mawazo nakushauri usijichanganye ukanunua Honda CR-V utajuta. Kuna jamaa alinunua kwenye mnada Morogoro - Kilimo linamtesa kuliko maelezo. Amejaribu kuliuza kupitia madalali...
16 Reactions
113 Replies
17K Views
Wadau naomba kujua gharama ya kupata vifaa tajwa hapo juu kwa wenye uzoefu na hiyo biashara tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
878 Views
Msaada hapo wazee wa magari Eti usajili wa E umeanza rasmi?
1 Reactions
2 Replies
612 Views
Wakuu habari napata changamoto, napokuwa speed au mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea gari yangu inakuwa inatoa mlio flani ambao kama kuna kitu kinasuguana. Mara ya kwanza nilienda kwa...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…