Habar wakubwa na gari yangu aina ya nissan bluebird inAchemshA nimeshasafisha rejeta cyclinder head na gasket nshabadili ila bado inAchemshA baada ya dakika 5 au 10 nini itakuwa shida jamani
Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenu wataalam, nataka ninunue Sedan siku chache zijazo, na gari hizo mbili zote New model Fuga (Hy51) na Crown (Grs200) ndio nimezipenda.
Ushauri wenu, ipi...
Nataka gari ya kwenda nayo ofisini, nikitoka nipige uber niingize fedha. Nataka private ya kukodiwa sometime viroute vifupi vya km 300 -400 na kurudi mjini.
.1. Wish
.2. IST
.3. Raum
.4. Passo
.5...
Hello everyone! Ninasomea uhandisi magari, ni wapi kwa hapa Dar naweza kufanya field au kujitolea?
Nina maana ya workshop ya magari au yard! Ahsanteni!
Ni mdogo wangu[emoji115][emoji115] ana...
habari wakuu naomba mwenye utaalam wa hizi piki piki bei pamoja na ubora wake nataka kutumia kwa matumizi ya nyumbani tu yaani kwendea kazini na kurudi nayo home hapa hapa Dar.
Toyota GR Yaris ni Sampuli za vitz, Ila Toyota anazalisha hizi gari akilenga European market. Production yake imeanza last year
Kinakuja na Engine za aina mbili, 1.5L inline 3 na 1.6L inline 4...
Hii gari haina complications kabisa kwa maelezo ya mtaalamu mmoja mwenye uzoefu wa hii gari kwa miaka mingi.
Anasema hii gari akienda kufanya service ya engine oil. Huwa hahangaiki kuulizia oil...
Wakuu habar zenu.
Hivi kati ya lubricant/oil kati ya kampuni ya TOTAL na CASTROL ipi ni nzuri na ipo juu ya mwenzie? Hapo namaanisha quality. Naona watu wengi wanatumia total kuliko castrol.
Ipi...
Nashukuru sana gari langu limepona
Changamoto ni chache chache tu zimebaki ilikuwa na tatizo la check engine kuwaka nguvu ikawa haina nikapata fundi amerekebisha now nakula misele tu japo hela...
Wakuu naomba kuuliza Mimi ninaishi Mbeya.
Je, utaratibu upoje kama nataka kutumia gari kutoka Malawi au Zambia ikiwa na usajili wa Malawi, kuna namna ya kulipia iwapo nataka kutumia kwa miezi...
Natumaini wanajamvi wote ni wazima.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu...
Ebana mimi siku moja nikiwa fuel station si nikakosea njia ya kutokea bana , nika pita katikati ya zile pipe /mashine zile za kiwekea mafuta.
Eh bwana eh kitu kikachubuka chubuka japo body haiku...
Habari za Sunday wana Jamvi.
Kwanza ni declare interest kuwa mimi sijawahi kumiliki gari ya aina yoyote bali hii ni ndoto inayoishi.
Huwa nina maswali mengi kuhusu magari, kuanzia gari lenyewe...
NICHUKUE IPI KATI YA NISSAN MURANO, DUALIS NA XTRAIL?
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
1. Nissan Murano
Injini bora ya hii ni ile yenye Cc 2500 inayokadiriwa kwenda Km 10.6/L. Katika...
Leo katika pita pita zangu nimekiokota hii kifaa kinatumika kwenye nini na kinaitwaje .... maana nimejikuta nawaza pesa tu ukizingatia na hii hali ya mvua mvua biashara ngumu ....
Natanguliza...
Kuna jamaa mwamba wangu amenipa sugestion ya hii chuma katika kusakanya mkangafu wa kutunishiana misuri rodini huko.. toka jana nimekua na google nacheki youtube kuhusu hii chuma..
Mie ni...
Heri ya sikukuu ya muungano. Naombeni msaada wa mawazo ili kurekebisha gari yangu ishu ilikuwa hivi;
Kunasiku huko nyuma gari yangu nilipeleka kwa fundi kufanya service ya vitu vingi kidogo...
Habari wakuu.
Kuna staff mwenzangu kaniomba ushauri kuhusu Xtrail toleo la pili kuanzia 2015 anataka kununua nimpe ushauri.
Sasa ukizingatia mimi sio mtaalamu wa masuala ya magari, nikaona...
Salaam,
Toyota IST old model, ilipata ajali. Airbags zikablast. Pia front seat belts zilijam. Yaani airbags na mikanda vilifanya kazi zake ipasavyo.
Nini kifanyike ili kurejesha 'safety level'...