Nina Toyota RunX ya 2006 nilinunua kwa mtu Dar miezi minne iloyopita, niliitumia siku zote bila kujua kama ina ttzo...lkn kuna siku niliiendesha umbali mrefu kwa speed kubwa ikawa inaingiza gia na...
Wakuu hii ni kuhusu biashara ya spares za magari, spanners na lubricants zote.
Ningependa kujua huo mtaji wa 26m utatosha nijizatiti vizuri?
Je maeneo gani yanafaa kuweka biashara ya aina hii...
Jamani Mambo vp. Kuna project nahitaji kuanzisha ambayo itahusisha sana sana watu wa vijijini. Hii project ni lengo ya kutoa elimu kwa watu wa vijijini especially kwa wanafunzi wa shule za...
Nilikua na kagari kangu IST kalikua kananisaidia sana hapa mjini (DSM) mambo yangu yalikua safi kidogo, visafari vidogo vidogo na kukutana na warembo ilikua simple sana.
Sasa nikajikoroga...
Habari za weekend wakubwa,,,moja kwa moja niende ktk mada hapo juu
Mimi ni mgeni kidogo ktk kumiliki vyombo vya moto yaani gari,kwa hiyo ningeomba kujuzwa juu ya hali ninayoiona kila siku asubuhi...
Mada tajwa hapo juu yahusika,
Naomba kujua App utakayoweza kutumia Kujua gari km ina madeni ya Trafic na Bima, ikiwezekana kujua full umiliki pia.
Naomba Kuwasilisha,[emoji120]
Wakuu naomba kujuzwa chuo kizuri kwa ajili ya kusomea umeme wa magari.
Nalenga magari ya kisasa hasa haya ya kutoka Japan.
Ni chuo gani kizuri naweza jifunza umeme wa Magari tu.
Maana magari...
Habari wakuu,wale wataalamu wa magari naomba ushairi wenu,nafikiria kununua Nissan Murano,ila sijazifahamu kwa undani wake hizi gari,
.Ni ipi engine nzuri katika aina tofauti zilizopo.
.Je zipo...
Wadau,
Vipi hii ndinga NIssan Terrano kwa wanayoifahamu performance yake barabarani, uimara wa gari yenyewe, spare zake upatikanaji wake na kadhalika, kwa wale wajuzi wa magari maana Kuna mtu...
Wakuu habari ningependa kufahamu uzoefu kidogo juu ya uagizaji magari used kWA kutumia mtandao wa be foward.
1. Huwa uinachukua mda gani toka ulipoagiza gari na mpaka unalipata?
2. Unaweza kujua...
Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa...
Katika gari ambazo mjapani alibuni kwa kutuliza kichwa ni hiyo gari..
1.ni kigari imara sana,kulinganisha na gari za level yake.
2.mafuta haili bali inanusa..
3.ni ajira nzuri kwa wenye kipato cha...
Wakati mwingine maboresho yanaweza kugoma,ndio kwa gari hizi,noah old model ni nzuri kushinda matoleo ya karibuni(voxy),hizi gari hazichuji na sokoni ziko hot sana ni gari imara na himilivu kwa...
Wakuu jumapili inaendaje,
Nina week tu tangu niachiwe hii chuma cha FORD RANGER na ofisi baada ya dereva kupata matatizo.
Nilipata tabu sana mwanzon nilikua sijamasta vzr manual japo nilikua...
Hello wakuu habari zenu...
Nimepata changamoto ya oil ya gear box kuvuja...sio kwenye sample...ni inatoka kwa juu kwenye drive shaft...nilienda garage, fundi akasema ni oil seal imekufa...akaitoa...
Moja ya tatizo ambalo naliona katika mafundi wetu wengi au wataalamu ni kutothamini kazi zao.
Nlikuwa nmepeleka gari kwa fundi abadilishe Gearbox and Engine Oil. Lakini kabla ya hapo tayari mimi...
Ni basi gani zuri kwasasa nikiwa na maana sio uzuri tu wa muonekano wa nje na ndani bali pia ambalo linaweza nifikisha mapema ukilinganisha na mabasi ya kampuni nyingine.
Mana kuna yale mabasi...
Habari wakuu!
Nilikuwa nabust gari ndogo ingine IST, sasa baada ya hiyo gari kuwaka wakati nachomoa zile nyaya kwenye upande mmoja,bahati mbaya nikazigusanisha nyaya huku kwenye ile gari ya Vitz...