JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Naikubali sana hii mashine Engen td42 ..y60 Popote safari hkuna kulala njiani Kazi kazi Ova
16 Reactions
179 Replies
24K Views
hii signal imeganda kwenye dashboard,nikizungusha funguo tu,fasta kanatokea,mpaka uzime gari kabisa ndo kanaondoka,gari ni toyota noah old model
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hanarini za asubuhi, natumai mmeamka salama. Naomba kujuzwa nahitaji kufanya service ya kawaida kwa gari ya ulaya, gereji gani nzuri Mbeya yenye utaalam wa gari hizi? Asanteni.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu msaada tafadhali ..nimezunguka na boxer kwa mafundi wameniambia ni rings mara piston ..nimenunua nimepachika lakini zinakaa wiki zinakufa na moshi unaendelea kutoka ...nin suluhisho la kudumu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa wenye uzoefu wa magari naomba mnijuze magari ya Nissan yana tatizo gani...nimekuwa nikiambiwa nisijaribu kununua gari ya Nissan lolote kwani litanisumbua ninunue tu kampuni ya...
3 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu? Mimi ni kijana ninayehitaji kujifunza udereva wa magari, hivyo naomba mwenye kufahamu sehemu yeyote wanaotoa mafunzo haya anisaidie kwani ninahitaji kuwa dereva mzuri lakini...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
IJUE BMW X5 AUTOMATIC DIESEL Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari UTANGULIZI Model inayoongelewa hapa ni toleo la mwaka 2000 mpaka 2007 Kwa wakati huo iliaminika kwamba gari ya SUV tamu...
9 Reactions
27 Replies
6K Views
Wadau natafuta Duka linalouza Carrier za Aina hii hapa Dar Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu, wapi Naweza pata hizi engine ndogo ndogo, zenye horse power kuanzia 3HP na kuendeleea? Naomba kujuzwa.
0 Reactions
4 Replies
602 Views
Husika na mada tajwa Jana usiku kuna bodaboda amenigonga kwa nyuma akapasua taa yangu ya nyuma.Kama kuna mtu anaweza kuipata used Japan naomba tuwasiliane na bei yake. Niko iringa
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari Ndugu zangu!! Mimi Ni dereva wa Bajaj(nimejifunza na kujua mtaani) Ila nimeamua kutafuta leseni! (Sina pesa ya kwenda veta) Naomba mnisaidie njia ya kupata leseni halali. Sent using...
1 Reactions
7 Replies
883 Views
Wakuu naomba msaada wa mawazo kuhusu gari Toyota Wish... Nina mpango wa kununua hilo gari, nimekuja mbele yenu kupata mawili matatu kwa uzoefu wenu.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada kwenu wataalam,najiridhishaje kuwa Gari ninayoendesha ni AWD? Maana unakuta mafundi wanakwambia tu kuwa hiyo Gari siyo rahisi kukwama huko vijijini maana ni AWD. Lakini nitafanya nini ili...
1 Reactions
4 Replies
999 Views
  • Closed
Habari zenu wakuu na wapenzi wa jukwaa hili. Niende kwenye mada, Kuna hii Toyota IST 2005 ambayo ni 4wd ama AWD model code NCP 65, 1.5L. Hii gar ilifanikiwa kufanyiwa usajili mwaka jana mwezi wa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Jamani kidogo kidogo nimeanza kuona magari ya Mitsubishi Pajero 3.0L petrol. Hivi haya magari yakoje in term of 1.Ulaji wa mafuta 2.Upatikanaji wa Spare 3.Uhimilivuwa rough roads 4.Engine ya...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakuu nataman kujua kati ya hizi gari mbili ni gari ipi ya kuishi nayo in terms of .perfomance .durability .reliability .efficienty in terms of wese na mazagazaga mengine ila kwenye price naona...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau naomba kujua unapofanya Service ya Gari ni Hatua na Sehemu gani za Gari zinatakuwa zifanyie hiyo Service? Pili Aina ya Oil na Greese Tatu aina ya filter Gari husika ni HARRIER 240G
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Mnamo mwaka 2019 nilinunua Boxer 150x ikiwa mpya kabisa, na nilifanya maamuzi magumu kutokana na changamoto nilizokuwa nikiambiwa kuhusu pikipiki aina ya Boxer lakini niliamua tu kuinunua hivyo...
15 Reactions
42 Replies
41K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…