Habari wadau,hivi ni kwanini magari aina ya Nissan matengenezo na marekebisho yake yanasumbua mafundi wengi?pia ni gharama kubwa kurekebisha ukilinganisha na Toyota
Ndugu zangu, Nissan xtrail yangu imeleta shida. Taa za breki hazizimi na ktk kukagua nikakuta kwenye brake pedal kuna ki-rubber kimesagika hivi na vipande vimedondoka. Fundi kasema kuwa kuna...
.
NAJUAA wengi sana huvitiwa sana magari haya aina ya crown na hata bei zake sio rahisi ki hivyo, na kwa ushauri wangu usinunue crown ya bei rahisi utakuja kulia , hilo nakukuhakikishia , ni gari...
Wakuu habari zenu,
Nimepanga kwenda Mwanza kati ya tarehe 22 hadi 24 mwezi huu ila hizi sikukuu kidogo imekua changamoto kupata usafiri wa umma maana buses zote ndani ya siku hizo tayari ziko...
Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
Hii Case nimeizoea kukutana nayo wa watu na huwa naichukulia kawaida ila leo nimeshangaa kuikuta kwenye moja wapo ya Showroom hapa Dar.
Kikawaida gari nyingi tukitaka kuangalia mwaka ambao gari...
Bila Catalytic Converter kuna sumu zinazotoka kwenye moshi ambazo zitakuwa zinaingia kwenye hewa.
Sumu hizo hazifanani kulingana na aina ya engine,
Engine za petrol hutoa Hydrocarbons, Carbon...
Nauza engine K3- VE ( Vvti) cc 1300 na gearbox yake.
Ina changamoto ya rings kutanuka. Hiyo tu na gearbox seal yake inavujisha ni either ifungwe vizuri au ibadilishwe. Mimi nlipata engine...
3 Series 320I M SPORTS guyz hii chuma naizimia kinoma nawaahidi kuna siku nitawapostia humu nikishanunua hii ni gari ya ndoto yangu
Ghalama ya kuagiza ni Tshs 13,881,102 hii inakufikia hadi...
Habari: Wakuu kuna "Kampuni" moja ya kigeni nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa vipindi tofauti kila wanapopata tenda hapa Tz. Sasa kuna mradi wamemaliza na juzi wamekabidhi kwa mafanikio makubwa...
Wakuu salaam, natafuta engine ya Suzuki escudo Grand iwe V6 ah 4 cylinder. Naweza ipata kwa bei gani?
Nahitaji complete
Naambatanisha na picha ya gari.
Nilipata kufahamu hilo na lilinishangaza sana mwezi uliopita baada ya kusoma mahali juu ya shutuma kwa shirika la ndege la KENYA AIRWAYS kwa kupaa mwendo kasi. Inachekesha lakini kila kitu kina...
wajuzi wengi wa magari wamekuwa wakisifia kwamba Landrover Defender engine ya TDI ni gari nzuri yenye engine bora sana.wajuzi hebu mnijuze sifa za hii engine pamoja na engine capacity yake
Wakuu habarini za majukumu, naomba kufahamishwa gharama ya kubadili kadi ya umiliki wa gari / bajaji ni kiasi gani cha pesa?
Na gharama ya kukata kibali cha Sumatra ni bei gani?
UMOFIA KWENU!
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupata maoni au mtizamo wa jamii kwa namna inavyowachukulia madereva wanoendesha magari aina ya SUBARU na ALTEZA hapa Tz.
Kwa kuanzia, mimi binafsi...