Habari wakuu, hapa ninampango wa kutoka Mwanza kwenda DSM na pikipiki aina ya XL kwa ambao walishawai kutoboa route ndefu na toyo tupeane uzoefu na changamoto zake na zipi na ni mambo gani...
Hii kitu sijui kama wengi wanaifikiria , nataka kujua inabadilishwa baada ya KM ngapi na utajuaje inatakiwa kubadilishwa manake nasikia madhara yake ikikatika ni mabaya sana.
Pia kama ilikuwepo...
Wakuu habari..
Nahitaji mwenye uzoefu wa hizi gari tajwa hapo juu. Naona zina matoleo ya Alphard V na Alphard G.
Nahitaji kujua tofauti yake ni nini na ipi ni bora zaidi ya nyingine.
Radiator fan inazunguka polepole,haina ile speed yake ya kawaida. Shida ipo wapi? Gari yangu Nissan Note, ila gari halichemshi, naombeni msaada.
Jitula miraba minne.
Msaada mkuu
Habari wakuu, Nina mpango nitafute motokaa na mimi nitembee na uchawi wa mzungu. Ndoto niliyonayo ni kununua Mistubish Freelander naombeni ushauri wazee kama ni gari nzuri au ni kipengele.
Baada ya kuona wabongo ni km tunaigana katika kuagiza gari, ambayo inapelekea na bei za aina ya hizo gari kupanda maradufu, leo nikasema nipitie befoward, kwenye filter nikachagua gari za chini ya...
wadau nimenunua tairi mbili,kutokana na mfuko wangu,gari yangu ni noah,haiko bize sana,kati ya tairi mbili za mbele au za nyuma,nibadilishe zipi kwanza kwa sasa?na kwa nini
Wakuu kwema, nina gari yangu aina ya GX 100, tatizo lake inavuta upand mmoja hasa unapokuwa kwenye barabara ambayo haijanyooka. Nishapima balance na kubadilisha bush zote huko chini lakini bado...
Naomba wenye ufahamu wanisaidie kujua karakana mzuri kwa gari hizi Nissan xtreil, moja yangu ilisumbua kitu anaitwa slinder herd gasket, hivyo haijatulia ni kama inavujavuja oil. Nataka nipate...
Habari Wadau, Nimepata tenda ya kusimamia mashamba ya parachichi ya Waholanzi sasa wamenipa pesa kiasi ya kununua usafiri Off- Road.
Kuna bajeti ya 20M kwa ajili ya gari hapa nafikilia 8M natia...
TRA WANAANGALIA BEI YA GARI AU NI MWAKA NA MODEL TU?
Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari
Swali hilo muhimu liliulizwa na mmoja wa wadau wetu na majibu yake ni kama ifuatavyo.
Kwa ufupi...
TAHADHARI TAHADHARI
Punguza usumbufu kwa kutojiagizia gari mwenyewe
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
Mada hii fupi inakuja baada ya kuona baadhi ya ndugu zetu waliojiagizia wenyewe...
Habari wadau , hope mu wazima.
Leo nahitaji munisaidie ufafanuzi kuhusiana na hili kuiwacha gari ingurume kama imelala muda mrefu kusudi wengine wanasema temperature ishuke lakin wengine wanadai...
Wenyeji wa Dar naomba msaada wenu.
Gari yangu ina tatizo na nadhani watu wa Diagnosis wataweza kujua tatizo lake ni nini, huko mikoani nimeipeleka kwa mafundi wengi hawajagundua tatizo.
Gari ni...