JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari. Naomba saana, Mwishowe kwa Mil 10...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Naomba kujua namna inavotumia Mafuta engine hiyo ktk Premio New model ya kuanzia 2002-2005,, kwa DHATI uzuri wa engine (faida na hasara na mazingira ya kwetu,, Barikiwa ndugu yangu.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba mwenye kuijua vema hii gari Anisaidie tafadhali nataka kuinunua mwezi ujao mikononi kwa mtu Namba DKL
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Nina ndugu yangu anataka kuingia kwenye hii sekta ya usafirishaji mizigo hivyo nikaona ku share swali hili kwenu. Je inachukua muda gani hadi ku qualify kuendesha lori. Pia anataka kujua faida...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikia ni kali balaa. mwenye kuelewa performance yake atuambie. c.f.. RRONDO Toyota Rumion
6 Reactions
45 Replies
12K Views
Wanabodi. Niende moja kwa moja kwenye mada. Natafuta tyre cover ya gari aina ya RAV 4 kill time, milango 5. kwa yeyote anaye uza au kujua zinapo patikana naomba anifahamishe! Asante.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapendwa kama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kujuzwa kwa undani,kiutalaam nini matumizi ya gia position L na no 2,wakati wa kuendesha gari za automatic mfano toyota noah.
1 Reactions
21 Replies
11K Views
Ilikuwa asubuhi jamaa wanakwenda kazini, huyu mwenye jeep srt akiwa anarekodi kwa bahati anakutana highway na benz amg ,mustang, ligi inaanzia hapo. Kiukweli bongo hakuna barabara za kiwango kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
TOYOTA WISH AU IPSUM?- Kama alivyouliza mdau kwenye group Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari Ipsum za zamani zimeadimika, hivyo ntaongelea ile mpya kuanzia miaka ya 2001. Toyota Ipsum...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wakuu, nina Nissan Dualis ya 2010. Pindi ukikata kona inakuwa inagonga. Wiki iliyopita nilikagua CV Rubber boot na mojawapo ikawa imekatika. Nikaenda kwa fundi akaisafisha CV joint na...
5 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu. Hizi siku mbili battery ya gari (IST) imenisumbua mno, bila shaka muda wake wa matumizi umekwisha. Kwa sasa sina pesa ya kununua battery nyingine kureplace hii...
3 Reactions
42 Replies
10K Views
Kuna vuta naona inaendelea kwenye forums mbalimbali kati ya wapenzi wa Toyota Land Cruiser dhidi ya wapenzi wa magari ya kimagharibi. Hapa nitaweka videos chache tu, wakishindanisha nguvu, uwezo...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wadau poleni na hongereni Kwa pilika za maisha ya hapa duniani ,. Nimekuja kwenu Kwa mara ya Kwanza niombe ushauri na mawaO yenu wwnye uzoefu wa magari Nimeetokea kuipenda Sana Toyota Kwa kuanza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari ndugu wana JF mimi nina M12, nishaurini ninunue premio used apa bongo au ninua ist used Japan?
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Habarini, Gari yangu rav 4 injini manual 3s inavuma mguu wa mbele kushoto ma kuna wakati inaacha nimenadili bearing wapi,naombeni msaada kwa hili tatizo. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Ukipita kwenye miji mingi hapa Tànzania katika Tax kumi utakazoziona basi angalau 6 zitakuwa ni Toyota Carina. Je, gari hizi zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya biashara hii? Imefika sehemu hata...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Kwa mda mrefu nimekuwa nikijiuliza, hivi ukiwaaha air condition husababisha gari kutumia mafuta zaidi kuliko usipowasha au,wajuz kujen hapa mdadavue kwa faida ya wanajamii forum
2 Reactions
25 Replies
8K Views
Ni upi uhusiano wa plug na ulaji wa mafuta katika gari? Pia ni muda gani unapaswa kubadili plag.
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Dave Sihoka, kulia, (mwenye mavazi rasmi ya mbio za magari) Zambian international rally navigator akiwa na Joab Ambukege Kakuyu, dereva wa Lori kutoka Rungwe Mbeya aliyefika DAR es Salaam...
12 Reactions
102 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…