Wakuu heshima kwenu.
Well, kama mada inavyojieleza wakuu kama una gari may be umenunua show room au mkononi kwa mtu utajuaje kuwa Inaingiza lita ngapi pale utapokuwa umejaza full tank?
Nawasilisha.
Tumeona baada ya ziara ya Mhe. Rais ktk nchi ya Rwanda ambao ni majirani zetu kila mmoja wetu ameshangaa na kuduwaa kuona magari Bomba aina ya volxwagon yanatengenezwa nchini Rwanda.
Nimejiuliza...
IJUE BMW 7 SERIES- Kwa ufupi
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari
UTANGULIZI
Ni moja ya gari za starehe iliyoboreshwa kwenye mambo mengu na iliingia sokoni kwa mara ya kwanza 1977. Leo...
Nimekaa nimetafakari sana ni kwa nini Tanzania hatutengenezi magari ila nmeshindwa kupata majibu.
1. Kuna raw materials za kutosha. raw material kubwa ni chumba na tuna maeneo mengi ambayo chuma...
Habari ya Majukumu humu Ndani.
Naomba kusaidiwa hiyo hoja. Je, nitajuaje gari yangu inachemsha?
Gari yangu nimeona haya, Je ndiyo Kuchemsha au mwanzo wa Kuchemsha?
1.Maji nikiweka yemejaa Mpaka...
AGIZA- MAZDA TRIBUTE pichani kwa 13.9m
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari
Cc 2000 (12km/L), Km 52,000...Tulivu safarini na vifaa vinapatikana na kudum
Gharama zote 13,950,000. Awali...
Habari wakuu!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikapata changamoto ya kutofautisha kati ya torque na horsepower. Katika jitihada zangu za kusoma nimeelewa kwa sehemu kidogo lakini kuna jambo...
Nina generator yangu ambayo siitumii sana; kuna kipindi ili kaa karibu mwaka mzima bila kutumika. Kuja kufungua nikakuta petrol imeharibika na kugandiana kiasi kwamba iliharibu mpaka carburetor...
Habari wakuu,
Je kwa sisi/wao wanaonunua haya magari nee a.k.a second hand from outside africa. Je, unajuaje mtu kacheza na milleage/km za gari? Mfano km ilizotembea gari ni 120,000 km ila mtu...
Wajameni najua hapa kuna watalamu wa kutosha.mitsubishi fuso bus seat 45 mpaka niimiliki bei gani?vipi uimara wake? Inaweza kwenda kwa miaka mingapi?
Kwa safari za km 420 kwa siku.
Naombeni ushauri juu ya hii gari.
Ukikanyaga accelerater kwa nguvu inakuwa kama imeziba exhaust na kisha ghafla huzibuka.Hapo inabidi ukanyage mafuta taratibu sana ndipo safari...
Yaani kwa sasa gentlemen cars in town kwa Tanzania ni Land Rover Discovery kuanzia series 2 na kuendelea. Wanaoendesha haya magari kwanza ni watu fulani hivi wanaonekana ni wastaarabu na wasio na...
Kumekuwa na mjadala mrefu kuhusu gari aliyonunua star wetu wa muziki wa bongo flavor Diamond platnamuz. Wengine wakisema eti gari hilo sio halisi ni fake, na wengine wakidai ni original.
Aina ya...
Nina Toyota Sienta 2004, Nina hisi radiator Ina matatizo. Namtafuta fundi wa ku repair radiator tafadhali.
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Habari Wakuu,
Nina uhitaji wa Fundi mzuri na mwenye uzoefu anayezijulia Hydraulic based machines hasa upande wa Transmission na Engine kwa Grader, Excavator, Compactor n.k
ππ½ππ½
Habari wakuu
Sikuizi naona IST na Vitz nyingi Sana sinauzwa mitaani..
Nina idea ya Biashara kidogo
Idea yenyewe ni hivi
Natafuta watu 5-10 , Ambao tutaandikishana mkataba , ambapo baada ya...