JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu, natafuta Car Diagnostic Machine English version. Au kama unawajua wauzaji toka nchi za nje nisaidie contacts zao. Nataka inayo toa taarifa za mfumo wa gari kwa Kiingereza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiyo range rover Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Na ipi garama zaidi Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Wadau, Natafuta chuo kinachofundisha kuoparate mitambo kama scavator, caterpillar, na mitambo mingine, mwenye kufahamu anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Nikipaki eneo lenye baridi kama masaa 4 nikiwasha gari nikiwa na zungusha usukani ina lalamika ngiiiiiii nikirudi upande wa pili hivyo hivyo . Inabidi niache gari ingume kama dk 10 mpaka 15 ndio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Shikamoni waheshimiwa, Mimi sijawahi kumiliki gari tangu nizaliwe. Kazi yangu ni kuuza duka la Mangi. Kipato changu ni wastani wa Laki 5 kwa mwezi (hakiko imara kabisa; kinaweza kupungua au...
5 Reactions
213 Replies
28K Views
Hello JF Karibia miongo miwili baadaye ulimwengu unakaribia kuwa na ndege ya abiria inayoweza kusafiri kwa kasi zaidi ya kasi ya sauti. Mwezi Huu , kampuni ya ndege ya Boom Supersonic ilianza...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Ninataka kuagiza gari aina ya Suzuki jimny, ikifika niikate iwe kama pick up. kwa yeyote mwenye uzoefu na garage nzuri inayoweza kuniundia anisaidie mawasiliano.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Msaada wa Oil zinazo faa kwa gari aina ya Honda Fit, ni zipi mm tusaidie wataalamu, Oil ya Engine na Gear Box. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
61 Replies
18K Views
Habari ndugu Nina gari yangu vitz imeanza kuishiwa maji na kuchemsha unaweza ukaweka maji ukaenda umbali flani ukicheki maji unakuta yameisha kabisa na kupelekea kuchemsha Na pia ukiwasha ac...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy. Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari...
13 Reactions
72 Replies
12K Views
Nahitaji kununua kwa mtu lakini imeonelea ni pate ushauri kuhusu changamoto zake, ubora wa engine yake maana muuzaji ameniambia inatumia vvti, sasa mm si mzoefu
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Amphibious Vehicles ni magari yaliyotengenezwa Kwa ajili ya kutembea nchi kavu na majini.Magari haya yalikuwa yakitengenezwa kabla ya vita kuu ya pili ya dunia, mengi yalitumika katika jeshi...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu.. Brevis ni gari nzuri sana na kwa anaejua magari ukimpa choices za gari tatu ambayo moja yake itakua kuna brevis bas hatosita kuichagua brevis. Ni wazi kuwa juzi nilikua natafuta...
11 Reactions
325 Replies
94K Views
Toyota hapa walitoa chuma chakiume kabisa hiki unaweza kwenda nacho barabara yoyote ile. Kilimo kwanza ambacho kipo kwenye muonekano wakibaba sana. Unaweza ukafunga Jembe nakulima heka. Huwezi...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Baada ya muda mrefu kuteseka na daladala hatimaye Nimeagiza chuma , chombo ipo kwa bahari unakuja inavuka bahari kutoka Japan Nimenunua manual ili kuepuka kuazimwa ovyo . Chombo iyo 14m lazima...
20 Reactions
115 Replies
11K Views
Wakuu wapi naweza kupata huduma hii kwa gharama nafuu hapa Dar? Nipo ubungo.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji kuweka shock ups full set (mbele na nyuma). Wengi wanarecommend KYB brand, wanasema ni soft shocks zinafaa kwa rough roads. Nahitaji KYB shocks original genuine and new. Kwa jiji la...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwanza nitangulize shukrani zangu za pekee kwa wanajukwa hili kwa kuwa nimejifunza mengi Naombeni msaada hapa gari yangu ni spacio new model 1zz imekuwa na tatizo la kuzima nikiwa naendesha...
4 Reactions
32 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…