Wakuu habari za asubuhi
Mimi nna Starlet ambayo ni Manual Transimission. Gari iliisha clutch plate nikabadilisha. baada ya kubadilisha likarudi kwenye hali yake lakini gia zikawa zinaingia na...
Hii gari naona haipendelewi sana na raia hapa town ila its one of the best looking car from Toyota. Looks sick when equipped with them 22"s.
Nikifika 40's i wish to be rolling on this one SUV...
Habari zenu wadau.
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha. Ni wapi naweza pata engine ya 1HZ iliyo katika ubora mzuri. Pamoja na swala hilo la ununuzi, pia ningependa kufahamu mambo yafuatayo juu...
Naweza kusema Toyota ameanza kurudi kwenye mstari wa kutengeneza vyombo vya uhakika baada ya kutoka kutufyatulia uchafu kadhaa kati ya miaka 2012-2017 hapo.
Wale designer wa gari ambazo...
Habari kutoka mtandao wa chunichi.co.jp unaeleza kuwa gari za Sedan Toyota Crown zimefikia ukomo wa utengenezaji wake baada ya kutoa updated version ya mwaka 2021.
Sababu kubwa ya kufikia ukomo...
Wakuu kuna huu mjadala wa matumizi ya magari ya kifahari kwa viongozi wetu haya ma V8
Tangu napata akili huu mjadala nimeukuta ukijadiliwa.
Sasa hebu wanaojua tujadili gharama zake hasa manunuzi...
Wadau ,
Naomba kujuzwa kama nahitaji kukata insurance ya gari nahitaji kuwa na document au kitu chochote mkononi kama card ya gari etc, au naweza tu kwenda kwa broker au insurance company...
habari zenu wana ndugu,
nimejichanga changa nimenunua ka passo kwa mtu lkn cha kushangaza kinakula mafuta vibaya nikiweka mafuta lita 5 natoka kimara to tegeta nakurudi inakua imeisha mafuta...
Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho!
Nimeumia...
Jana nilipaki gari yangu mahali kama dakika tano hivi nikashuka kununua matunda.
Kurudi nawasha gari inatoa mlio krrrrr lakini starter haipigi. Kifupi haikuwaka. Hangaika sana pale.
Nikasema si...
Wadau naomba kuulza eti ni ipi gari expensive kwa ivi karibuni kat ya izi tatu.
#fearrari
#bugatti
#ramborghini
Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
Wadau nina swali.Kwa sababu gani magari mengi yakijapani speed mwisho180 kmh tofauti na mgermany mengi ni 240kmh au 260kmh.benz ndogo yenye cc 1800 utakuta nayo 260kmh.kwa sababu gani??
Habari,
Hapa majuzi Mungu amenipa baraka katika shughuli zangu nimepata chochote kitu ambacho kilitosha kununua gari ndogo ya matumizi yangu binafsi familia na kazi zangu
Nimenunua gari yangu...
Heshima yako mkuu;
Ningependa kufaham gharama ya Kubadili na kuboresha mwonekano wa gari yangu kwa ndani (kuweka cover,na macapert )pamoja na kupulizia rangi.je itani cost kama bei gani vile...
Haya ndio magari ninayo yakubali kuliko magari yoyote iwapo ningekuwa nina mihela kwenye yadi yangu yasingekosekana.Ninapenda magari mapana yenye body kubwa na pia yale imara na magumu ambayo yapo...
Wakuu Habari
Nimefikiria nimeona nifanye maamuzi ya Kununua Gari online kutoka Japan. Sihitaji Kupitia Kwa hawa blockers Kwasababu Lazima watanipiga Pesa Sio Chini Ya 5,000,000/=
Naombeni...
Heshima Kwenu Nyote Wakuu,
Nilikuwa nataka namimi niende nikapaone Pemba tarehe tajwa hapo juu. Sasa naombeni muongozo kwenye mambo yafuatayo;
1. Je, naweza kutoka Unguja siku ya J3 tarehe...
Wakuu naomba ufafanuzi wa kina kuhusu sifa za hii gari kimoja baada ya kingine...
TOYOTA IST
2003
black
NCP60
1.3F L Edition
AT
1300 cc
AC
FF87
57000 km
Natanguliza shukrani...
Wakuu kwa wale wapenzi wa magari tofauti na ya kijapani kumekuwa changamoto za upatikanaki wa spea zake ukilinganisha na magari ya kijapani , tupeane location wapi pa kuzipata hasa kwa wenyeji wa...