JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu habari za majukumu ya siku nzima? Wadau ningependa kujua ubora wa hizi gari katika nyanja tofauti tofauti kama vile:- 1. Ubora wa engine, body na gear box. 2. Upatikanaji wa spare...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habarini wataalamu, Naomba ushauri kati hizo mbili gari ipi ipo vizuri katika vipengele vifuatavyo: 1. Uimara wa bodi 2. Gharama za spare zake. 3. Inaweza kwenda safari ya km 600 (mara moja kwa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Makampuni ya kutengeneza magari hutengeneza Engine au Gear box mpya kwa ajili ya spare kwa magari yatayoharibika? Biashara nyingi hufanyika kwa engine na gearbox used! Kama hawatengenezi ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Kwa mkoa wa Dar es Salaam, ni zipi kampuni best kwa kukodisha magari? Na je mtu anaweza kupata choice ya magari yafuatayo: - Range Rover - Audi - Landcruiser V8 Natanguliza shukrani...
5 Reactions
11 Replies
6K Views
Pikpiki yang nkiwasha inaonyesha alama nyekundu picha yake hapo chini hii alama kila ninapoiwasha hali ambayo mwanzo haikuwepo naombeni msaada wa kujua kama kuna kitu kimeharibika ama service ya...
1 Reactions
7 Replies
866 Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema! Nimenunua gari kwa mtu ambaye naye alilinunua kwa mtu na hakuwa amefanya mabadiliko ya kadi. Nia yangu ni kuwa na kadi ya gari kwa jina langu. Kadi bado...
0 Reactions
45 Replies
13K Views
Zimepita siku 515 toka Kampuni ya Tesla kutangaza kuwa gari yao aina ya Tesla Roadster imeanza safari kuelekea Mars. Mpaka kufikia Mwaka jana gari hio ilikua ishatembea maili milioni 179 Kwa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
IST/Vitz/Swift/Honda Fit Ninamiliki moja kati ya hizo babywoka. Nachotaka kujua ni je: Gari yangu itakua na matatizo sehemu ama ndio kawaida ya hizi babywoka. Siku za weekend demu wangu huwa...
3 Reactions
63 Replies
8K Views
Gari ukiendesha vizuri inatumia mafuta vizuri hadi unashangaa. Kuna kipindi huwa unaweza kupata hata km20/lita kwa gari ya CC2000. Ila haichukui muda inarudi kwenye 10-12km/l. Kuna sehemu huwa...
8 Reactions
147 Replies
54K Views
Habari wanajamvi, Nimetokea kuipenda sana gari toyota IST. Kilichonifanya niipende ni ulaji wake wa mafuta, haina gharama kwenye mafuta. Sasa swali langu je mtu akiamua kusafiri na IST kutoka...
3 Reactions
226 Replies
77K Views
Ninaomba msaada wa hili neno maana huwa linajitokeza kwenye dash board ya gari yangu kila mara lakini nikizima gari hilo neno hupotea je tatzo linakuwa wapi.(Visibility system malfunction)
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Toyota Is Canceling The Land Cruiser In 2022 And It's About Time Sasa Mawaziri, ma Katibu Wakuu, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Wenyeviti wa Halmashauri, maDED, maDAS...
4 Reactions
73 Replies
12K Views
Wadau habar Nataka kujua unaponunua pikipiki i mean be forward,hivi inapofika bandarin ushuru wake unakuwa vipi?maana nimechek tra website kwenye calculator yao haijielezi kuhusu pikipiki,je kodi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hizi beby walkers ni kavu mno wandugu. Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system. Hizi gari ni kavu mno kuendesha kwenye...
3 Reactions
47 Replies
9K Views
Habari zenu Wakuu, Naomba kuuliza. Je sports rims size 20 ikiwa na tyres size 225/35/R20 unaweza kufunga ktk gari aina ya Toyota Mark X baada ya kuiinua kwa kuweka 'spacer mm10' na iwe vema...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu msaada katika kupita pita kwenye mtandao, nikakutana na hii gari na kujaribu kuiquote price ikaja hivi Je hizo bei maana yake nini na ninaweza ipata kwa gharama mpaka mkononi mwangu msaada...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau tyre hizo zinatafutwa mwenye kujua pa kuzipata msaada please, PM kwa biashara haraka
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Wataalamu.naomba mnisaidie...utofaut wa hiz filterz za magar..moja baada ya nyingne Asanteni
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Je! Android Auto ni nini? Hapa kuna kile Unachohitaji Kujua Hivi ndivyo unahitaji kujua kuhusu programu ya Google ya ndani ya gari ambayo hukuruhusu kutumia simu yako ya Android unapoendesha...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…