Kama umezoea kuendesha magari ya chini, namaanisha fast cars kama altezza, subaru n.k, usije kununua ist, racts, oppa, passo, cam nk. utakufa.
Hizi gari za chini, ukiendesha speed haipinduki...
Nakumbuka mwaka 2015 Mwezi 9 baada ya kujichanga changa kidogo nikawa nimesave pesa kiasi nikasema hizi hizi Boxer BM 150 wakati huo ndio zimeanza kushika kasi nikaenda niaenda kuinunua pale mitaa...
Naombeni ushauri, nipo mbion kuagiza gari na hizo gari tajwa hapo juu ndio machaguo yangu, kikubwa ninachokipendea kutoka ktk hzo gari ni muonekano lakini sina budi kuchagua moja kati ya hizo hvyo...
Wakuu,naomba kuuliza kama kuna ambaye amewahi kutumia matairi ya goodride anielezee uimara wake,na je kwa masafa marefu kama kwenda musoma inaweza kupiga trip ngapi kwa private car,nilienda...
UFAHAMU KWA WENYE MAGARI;
Tairi ikizidi miaka mitano haifai kutumika.
Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne (4) tu toka yatengenezwe (sio toka uyafunge kwenye gari yako)...
Nataka kuagiza gari Japan Toyota premio ya mwaka 2005/2006.Naombeni kwa wenye uzoefu wa kuagiza gari from Japan, Je ni kampuni ipi ni waaminifu ! Je what if umetuma hela then baada ya hapo...
Habari najua hapa kuna mafundi wa magari watanisaidia,
Nina gari Harrier hizi 'Second generation' japo yenyewe ni ya muda kidogo. Kuna kipindi nilisafiri kwa muda kidogo hivyo niliipaki kwa...
Habari wakuu!
Naomba kujua ni Engine oil yenye grade gani inafaa kwenye Toyota harrier ya mwaka 2003 Engine 2AZ-FE 2400cc inayotumia petrol na inatumika hapa dar es salaam,maana nimeona...
Salaam,
Napenda kujulishwa kama kuna garage ambayo ina fundi mwenye kujua namna ya kuweka “oil catch can” kwenye gari za diesel zenye turbocharger.
Oil catch can inasaidia kupunguza zile sludges...
Kwa nyakati tofauti nimepata kuendesha hizi gari mbili. Harrier na MarkX. Harrier nnayoizungumzia hapa ni tako la nyani yenye engine ya 2AZ na CC 2400. Na mark X nnayoizungumzia hapa ni 250G yenye...
wana jamii forum, habarini za majukum.
naombeni ushauri ,ya kwamba ni hivi ninajua kuendesha gari vizuri sana yapata miaka 6 sasa Mara zote nilikuwa naendesha mjini tu hap . nimepata safari ya...
Heshima kwenu wakuu!
Mimi ni mpenzi wa magari tajwa hapo juu, yaani Vanguard na Harrier.
Ninategemea kununua gari karibuni ila nimeshindwa kabisa kuamua ninunue lipi kati ya Vanguard au Harrier...
Wengi wetu tumekua tunamiliki magari, ila hatujui vifaa wala bei mwishowe tunaishiwa kupigwa, huu uzi ni maalum kwa ajiri ya kujua bei za vifaa.
Uliza bei ya kifaa ujibiwe, kutana na watu mbali...
Mfumo wa utengenezaji magari duniani umebadilika miaka ya karibuni kutoka kwenye full mechanical kuwa advanced technology jambo ambalo ni changamoto kubwa kwa nchi zinazoendelea ambazo kwa kiasi...