Kuna gari hapa nyumbani, imenasa kwenye "D".
Ile gear lever ni laini, inasogea mwanzo mwisho ila pale kwenye Dashboard imenasa kwenye "D".
Shida inaweza kuwa ni ipi?
Nani ameshakutana na tatizo...
Mambo vipi wadau
Naomba kujua kuhusu ushuru wa kuimport pikipiki
Kuna namna yoyote ambayo ninaweza nikaona kwenye mtandao wa TRA? Au unakadiriwa pindi waonapo pikipiki?
Naomba kufahamu mambo mazuri na udhaifu wa Nissan Vannete NV 200. Hasa kwa matumizi ya barabara za changarawe.
Mimi ndiye dereva.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu
Naomba kujua kama hii gari ni 4WD maana kwenye zile icons kwenye dashboard kabla ya gari kuwaka kuna moja wapo ina alama ya 4WD lakini hakuna button kwenye gari ya kuengege.
Je...
Baada ya kujichanga changa hatimae nimetimiza mpango wangu wa mda mrefu wa kujikomboa na swala la usafiri mwezi huu, juzi nimekamata chombo changu rasmi..ni Toyota Opa nimeikwarua kwa jamaa yangu...
Gari yangu ni grande mark 2 gx 90 injin yake ni six cylinder cc 1987 sasa inatumia mafuta sana nilitaka nibadilishe injini naomba ushauri injini nzuri ya kubadilisha ambayo itakua na unafuu wa...
Hivi hii batani kwenye Gari uwa inafanya kazi gani? Maana Mimi naionaga ila sijui kazi yake nini kwenye Gari pamoja na kwamba, Mimj nibDereva. Hapa iko OFF, ila ukiiweka ON Gari inapiga Alam. Hii...
Habari zenu Wakuu,
Poleni sana na COVID-19.
Naomba msaada wa kupata tairi (specs: 225/55R17 97H) nne za gari. Nimejaribu kutafuta lakini kila napouliza wana za kichina au south korea lakini...
Naomba kujua tatizo hili lina sababishwa na nini. Nikitembea mfano speed ya 80 kwa dakika 5 hivi hasa wakati wa mchana AC hatoi ubaridi kabisa nikupunguza mwendo mfano speed ya 50 tuu kama sekunde...
Wakuu,mim nikisafir kwenda mkoa hii ndo tabia yangu,kwamba nibanie mafuta..lakin nmeskia kwamba ukifanya hiv unaharib gearbox. wengi hufanya hiv kwenye miteremko
Naomba anaejua anithibitishie...
Kwa wale mnaojua ufundi wa wa magari na wenye aidia na mambo ya ufundi.
Hivi Steering Rack ikiisha anza kuvuja, inaweza kutengenezwa? Au ndo inakuwa tayari imeharibika ni kuitoa na kuweka mpya...
Vifaa vya uokoaji maisha kwenye meli ni zana ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu meli au waliopata ajali kwenye maji.
Usafiri wa maji tumekuwa tukiutumia kila mara na ni...
Gari ni Verossa..
Ni automatic transimission, tatizo lake ni kwamba naweza nikatembelea vizuri tuu ila ikifika sehemu ya kupunguza spidi labda kwenye tuta au korongo, nikishataka kukanyaga tena...
Wakuu habari.
Kwa maisha ya sasa gari imekua kitu cha muhimu sana. Pamoja na kwamba kuna Uber, Taxify, Taxi, Bajaji, Daladala na Bodaboda, bado private car ina-umuhimu wake.
Kwa wasio na magari...
Habari zenu ndugu zangu.
Ninataka kujifunza kuendesha gari, haya magari madogo ya familia.
Je, wiki mbili zitanitosha kujua kuendesha manual na automatic?