JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Mimi kama nilivoeleza hapo juu , nina ndugu yangu anataka kuniagizia gari aina ya IST ya mwaka 2011 kutoka japan , sasa nilikua nahitaji kujua gharama ni kiasi gani kulitoa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ijumaa naenda dar kuchukua Gari hii lkn nanunua kwa mtu,ina cc 660,naomba kwa wanao ifahamu mnijuze Kwan natoka Dar to bukoba,je muda gan mzur kwa gari yenye engine ndogo,,nipumzike kila muda gani...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wiki 1 iliyopita nilitoka na family kutembea na gari yangu ni passo... Nina mtoto wa miaka 4 nikamuweka kwangu ninapoendesha wakati nipo kwenye mwendo kama speed 40 hivi akaja akaishika Gia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya majukumu wakuu. Kama tittle inavyojieleza, naomba kufahamu kuhusu hizi gari. Lengo hasa ni kunisaidia katika kufanya maamuzi ya kununua hiyo gari. Kipato changu ni cha kawaida...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu, Aisee ni vitu gani muhimu vya kuangalia wakati nachukua gari jipya au lililotumika?
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Waungwana nilitaka kujua kwa wale wanaoagiza magari toka nje ni kampuni ipi inayoagiza coaster zenye engine ya 14B na garama zake za kuagiza mpaka inafika hapa nchini kwetu. Naitaji kuyajua...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu? Nlikuwa nafikiria kumchukulia mama angu gar ya kuwa anatembelea hapa mjin, gar ambayo unywaji wake wa mafuta hautomtesa lakin pia yeye kama mama atafanana nayo. Mimi kama mimi...
5 Reactions
62 Replies
15K Views
Mwingine kaulizia iwapo anaweza kuchukua Brevis au la. Kwa mtu ambaye hafaham chochote kuhusu gari hii akiniomba ushauri nitamuelekeza yafuatayo na kumpa wazo mbadala la gari ambazo zinaendana na...
5 Reactions
12 Replies
6K Views
Naombeni ushauri kuhusu aina hii ya gari kwa watu ambao washaitumia na wanajua ina madhaifu gani na gari gani nzuri aina nyingine mbadala ya hiyo. Ziko aina mbili Terios Kid na Terios...
1 Reactions
26 Replies
16K Views
Naomba kufahamu ubora wa gari BMW X5.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wataalamu naja kwenu na shida moj, naomba kujua hii taa kwenye dash board ya kigari changu, Toyota Allex inaashiria nini? Maana taa hii huwa wakati unapo switch on, na unapokuwa unaendesha, Sasa...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Subaru Exiga, Hizi ni gari zilizotolewa kuanzia mwaka 2008. Ni gari nzuri kwa familia kwakweli, Tangu mwaka juzi nimekuwa nikiangalia Kodi yake kwenye calculator ya TRA, kodi haipungui mil 20...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habar Wana jamii forum !! Mimi nina swali hivi inawezekana mtu mwenye kuona jicho moja kupata leseni ya udereva ?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Huyu ni mtaalam kupiga rangi. Watu kadhaa walinielekeza kwake.gari ambayo inatakiwa kupigwa rangi ni kubwa. Actually ni katika tu kubadilisha rangi iendane na gari nyingine ilizozikuta. Gari...
6 Reactions
55 Replies
8K Views
Ndugu wana jamvi mimi ni muhitim wa olevel mwaka huu nilitaka nipige comb ya cbg ili badae nije nisome coz ya laboratory technician sasa kuna mtu ameniambia Kwa sasa mwanafunzi aliesomea cbg awez...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Wakuu habari za majukumu, Naomba msaada nina Suzuki Kei tatizo lake ni unapoendesha haina nguvu kabisa lakini ukirudisha reverse inakubali na ina nguvu vizuri tu. Je, wakuu hapo tatizo nini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu kuna mwanangu mmoja baada ya kupigika na ngoko na daladala mjini kaona Sasa ni muda muafaka kuagizia chombo Cha mjapan Anataka kuchukua hio Gari Mazda demio ya 2002 nadhani...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani nina Noah namba A nzima kinyama nataka niifanye iwe namba D ili nami naanze kuwaoshea na D yangu, je naweza kubandika Chassis namba nyingine ya kadi namba D? Au nifanyeje? Sent using Jamii...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…