Salaam wakuu?
Kuna gari nimeagiza litafika bandarini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi huu, nimeangalia gharama ya kodi (TRA) itakuwa kwenye 7.1M Tsh.
Sasa nataka kujua gharama zingine ni zipi...
Nina Rav 4 ile nafanana na Vanguard shida yake moja, haina comfortable kwenye mashimo.
Yaani ukiendesa barabarani hata shimo dogo tu utasikia inadunda. Je ukifananania na Vanguard kuna tofauti...
Habari wadau,
Nina kagari kangu Suzuki kei CC650, pia kana turbo. Tatizo lake kubwa ni kwenye mlima kanaishiwa nguvu kabisa.
Naomba ushauri wenu kabla sijaenda kwa hawa mafundi pasua kichwa.
Jamani wadau, wauzaji gani wanaweza kuniuzia bodaboda kwa mkopo nilipe awamu mbili au tatu. Aina yoyote iwe Tvs iwe Haoujue au Fekon sawa tu.
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na hali ya maisha kuzidi kuwa tight mtaani, nimeamua kujipanga kutafuta fedha nikaongeze fani,
Nimepanga kusomea udereva wakuu lakini naombeni kwa wenye ufahamu mnisaidie kidogo,
Mimi...
Magari haya huwa na muda wa kutumia , kama tulivyo binadamu ?
utafiti ulifanywa mara nyingi na kutoa siri kuwa makampuni mengi hujua mwisho gari lako, hutokana na ufahamu wa materio wanayo tumia...
Jana ilikuwa siku mbaya kwangu baada ya mtoto wa jirani kufanya hii kazi hapo juu. Naomba clue kwa anaefahamu bei ya windscreen kwa sasa ni Tsh. ngapi maana tuko kwenye negotiation na mzazi wake...
Habari wana jf,
Nina swali hivi ukitaka kupata Leseni ya gari Class C kwa mtu ambae hana hata leseni yaani akaenda tu veta na moja kwa moja akapata leseni class C kwasababu nasikia mpaka usubiri...
Habari za mchana wadau naomba kujua bei za pikipiki zile ndogo jina lake nahisi kwa kiingereza ni escootor. Je huuzwa bei gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu.
Naomba kujuzwa utofauti wa injini tajwa hapo juu kwenye hiyo gari.
Nb: Nataka kununua RAV4, ila sina uwelewa wowote ule na mambo ya magari.
SASA NAAMBIWA MARA INJINI HII NI D4 au...
JF ndio kisima cha majibu, ndio Tanzania, ndio dunia. Hapajawahi kuniangusha humu.
Naomba mwaka huu wadau wenye masihara wafanye kubadilika. Kipindi cha kazi na umakini.
Niulize hivi ukiuziwa...