JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Ni kama mamlaka za ukaguzi na KUSIMAMIA UBORA wa vyombo vya moto vinavyoingizwa nchini zimeshindwa Kazi, ama kuna uzembe mahali ama rushwa. Kwa modeli za magari yanayoingia nchini kwasasa NISSAN...
37 Reactions
135 Replies
6K Views
Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza: 1. Ubora wake 2. Changamoto zake Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali
1 Reactions
3 Replies
400 Views
Corona Premio the number one choice ya kina Rweyemamu wa Muleba, Muganyizi wa Karagwe, Kalikawe wa Kiziba. Tasipota..
9 Reactions
12 Replies
855 Views
Habari, nina changamoto ya gari (tipa, isuzu, double diff tani 10 , engine dizel ya v10). Gari in inawaka vizuri tu ikiwa imepoa ila ikisha tembea na kupata moto, gari haiwaki inakua nzito kuwaka...
0 Reactions
4 Replies
342 Views
Raia zinaroga mpaka machine ya Mzungu imetoka U German, Picha limeanzia Simiyu huko maeneo ya Nkololo Bariadi ndani ndani. Kijana wa Kisukuma kapiga mipunga yake akataka AUDI A4 akavimbe...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wapendwa, Ninahitaji kubadilisha matairi ya gari size 195/70 R14 Ninaomba kufahamu uzuri na ubaya wa brands zifuatazo 1. YANA 2. APOLLO 3. JK TYRES 4. TRIANGLE 5. GOODRIDE Bajeti yangu...
0 Reactions
79 Replies
19K Views
Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje. Amesafiri nami...
2 Reactions
6 Replies
442 Views
Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako. Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa...
18 Reactions
53 Replies
9K Views
Mazda CX-5 zinaelekea kuwa nyingi kama harrier na pia forster nayo the same . Lakini Mazda CX-5 ina masharti kama mganga sijui utoe dpf mara uendeshe km kazaa kutoa huo Moshi .nk Kwangu Mimi hizi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Je naweza kupata bajaji kwa 3 M iliotumika mwaka mmja tu
1 Reactions
5 Replies
356 Views
wakuu habari za muda huu, nmejichaga sasa nahitaji gari ya juu na katika pita pita zangu hii chuma nmeielewa sana sasa wataalamu naomba mnifahamishe vitu hivi upatikanaji wa spare ( nipo mbeya)...
3 Reactions
10 Replies
761 Views
Wakuu, Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE? Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna! Si AUTOXPRESS TZ wala...
5 Reactions
61 Replies
1K Views
Habari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe. Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili. 1. Range Rover Velar 2...
14 Reactions
166 Replies
7K Views
Nimekuwa natumia Grand Vitara Escudo ya mwaka 2005 CC 2000 kuanzia januari hii.. ila nimeona ulaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Sijakwenda nayo safari za mbali. Ila safari za hapa hapa mjini...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji funcargo ingawa bajeti yangu ya 5M ni ndogo lkn ndio nahitaji gari hiyo iwe kuanzia namba C iliyo karibu na D na...
1 Reactions
70 Replies
17K Views
Habari zenu wadau. Nimetokea kuipenda sana hivi gari toyota blade. Imefanania na runx ila cc ndio changamoto, zinaikaribia ile ya brevis. Sasa ukiachilia mbali na cc ni changamoto gani nyingine...
5 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama Toyota Carina mwaka 1973 ilikuwa hivi nini kilitokea kwa matoleo recent TOYOTA CARINA 1973 TOYOTA CARINA 2001
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata...
2 Reactions
8 Replies
765 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…